mayenga JF-Expert Member Sep 6, 2009 4,118 1,966 Nov 23, 2010 #1 Boyfriend: I luv you sweet baby. Girlfriend: Thanks so much. Mh!
K KIDUNDULIMA JF-Expert Member Aug 18, 2010 966 538 Nov 23, 2010 #2 imekaa kimtego. Anashukuru kwa kupendwa lakini yeye (girlfriend) hampendi mwanaume
bacha JF-Expert Member Aug 19, 2010 4,282 797 Nov 23, 2010 #3 mayenga said: Boyfriend: I luv you sweet baby. Girlfriend: Thanks so much. Mh! Click to expand... hebu Rose kuja hapa,jitete hapa bana!why........!!!kwanini.........
mayenga said: Boyfriend: I luv you sweet baby. Girlfriend: Thanks so much. Mh! Click to expand... hebu Rose kuja hapa,jitete hapa bana!why........!!!kwanini.........
NATA JF-Expert Member May 10, 2007 4,492 1,311 Nov 23, 2010 #4 mayenga said: boyfriend: I luv you sweet baby. Girlfriend: Thanks so much. Mh! Click to expand... inategemea alimwambia akiwa katika hali gani? Au ana hisi hiyo love imechakachuliwa
mayenga said: boyfriend: I luv you sweet baby. Girlfriend: Thanks so much. Mh! Click to expand... inategemea alimwambia akiwa katika hali gani? Au ana hisi hiyo love imechakachuliwa
mayenga JF-Expert Member Sep 6, 2009 4,118 1,966 Nov 23, 2010 Thread starter #5 NATA said: inategemea alimwambia akiwa katika hali gani? Au ana hisi hiyo love imechakachuliwa Click to expand... Ni kila siku mdau
NATA said: inategemea alimwambia akiwa katika hali gani? Au ana hisi hiyo love imechakachuliwa Click to expand... Ni kila siku mdau
roselyne1 JF-Expert Member Feb 18, 2010 1,365 93 Nov 23, 2010 #6 sio wote lugha inapanda,usimuhukumu dada wa watu bure... ungemuambia nakupenda,afu uone atajibuje?:embarrassed:
sio wote lugha inapanda,usimuhukumu dada wa watu bure... ungemuambia nakupenda,afu uone atajibuje?:embarrassed:
Chauro JF-Expert Member Aug 20, 2010 2,968 1,476 Nov 23, 2010 #7 halafu inategemea anampenda kuanzia wapi dada amemshtukia
Kimbweka JF-Expert Member Jul 16, 2009 8,597 1,683 Nov 23, 2010 #8 Kwayo alitakiwa ajibu " I luv u too babe" :A S-alert1:
afrodenzi Platinum Member Nov 1, 2010 18,145 9,215 Nov 24, 2010 #9 mayenga said: Boyfriend: I luv you sweet baby. Girlfriend: Thanks so much. Mh! Click to expand... si borea hata huyo amesema "Thanx so much" .... Je angesema "OK"
mayenga said: Boyfriend: I luv you sweet baby. Girlfriend: Thanks so much. Mh! Click to expand... si borea hata huyo amesema "Thanx so much" .... Je angesema "OK"
St. Paka Mweusi JF-Expert Member Sep 3, 2010 7,639 4,526 Nov 24, 2010 #10 mayenga said: Boyfriend: I luv you sweet baby. Girlfriend: Thanks so much. Mh! Click to expand... Ana bahati huyo kajibiwa na hiyo thanks,kuna jamaa alishasema kama hivyo kwa GF wake akaambiwa si bora nipendwe na mbwa, kuliko nyani kama wewe.
mayenga said: Boyfriend: I luv you sweet baby. Girlfriend: Thanks so much. Mh! Click to expand... Ana bahati huyo kajibiwa na hiyo thanks,kuna jamaa alishasema kama hivyo kwa GF wake akaambiwa si bora nipendwe na mbwa, kuliko nyani kama wewe.