Imekaaje hii

Acha wivu, kila mtu ana uhuru wa mawasiliano....
 
Mmmh hata kama bhna lisaaa zima usiku tenaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo ikiwa mchana anawasiliana na mchepuko wake hata masaa 6 kwako sio issue, tatizo ni usiku.....
Mwambie abadili muda wa kuongea na simu ili usiku alale akue vizuri.
Basi pambana na hali yako kama hutaki.
 
Eeeeeh...[emoji848][emoji848]
Kwa hiyo ikiwa mchana anawasiliana na mchepuko wake hata masaa 6 kwako sio issue, tatizo ni usiku.....
Mwambie abadili muda wa kuongea na simu ili usiku alale akue vizuri.
Basi pambana na hali yako kama hutaki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pesa ya kuwekeza kwenye chips na Saloon, badilisha matumizi ukawekeze kwingine hata kwenye kuku au kilimo.

Viumbe hawa hawana formula hata uombe ushauri kwenye umoja wa mataifa hawatakupa formula sahihi ya kuishi na hivi viumbe
Note:
Mungu mwenyewe alishtushwa na tukio la hawa kula tunda, wewe ndo utawaelewa kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ilaa kweli wewe umeongeaa point

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona kademu kako kanaongea saa 6 mpaka mida za alfajiri, ujuwe kuna kidume ulaya ndio muda wake huo. Wewe lala ukiamka utapewa muda wako, narejea tena wekeza muda wako kutafuta hela itakusaidia sana kwenye maisha yako.


Ndukiiiii πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Hii ndo maana halisi yaa jamii forum......nashukuru kaka
Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…