HaaahahahahahahhaDogo ukiona hivyo mko wengi,usihangaike na mapenzi utaumia na moyo, piga shule ,tafuta pesa madeni wapo tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli jamaa yangu usimuukumu bure huyo manzi kwani wewe ujawahi kupigiwa simu najamaa yako ambaye mlipotezana kitambo, na vipi maongezi yanachukua mda gani?
Lakin ndo lisaaa lizimaaa aaaah kaka sio kweli bhnaaKweli jamaa yangu usimuukumu bure huyo manzi kwani wewe ujawahi kupigiwa simu najamaa yako ambaye mlipotezana kitambo, na vipi maongezi yanachukua mda gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ni demu acha aongee hata siku nzima bado yuko sokoniHivi dem wako kuuongea na simu saa tano usiku mpaka saa sita.....na ulivyomuulizaa ulikuwaa unaongeaa na nani anakuambiaa rafiki....hivi kweli imekaaa sawa hii wana jf[emoji848][emoji848][emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ni demu acha aongee hata siku nzima bado yuko sokoni
Yes....bado ni demu, hujambadilisha status yake awe mchumba, mke, ana hali kabisa
So u mean akiwa dem...anatikiwa kufanya anachojisikiaaYes....bado ni demu, hujambadilisha status yake awe mchumba, mke, ana hali kabisa
So kama ni dem mambo kama hayo kawaida kufanya sio???Yes....bado ni demu, hujambadilisha status yake awe mchumba, mke, ana hali kabisa
Ahaahaa ahaa we fala kweli
Ahaahaa ahaa we fala kweli
From profile picture to proper future