IMEKAAJE HII

Mtakanuhu

Member
Joined
Sep 19, 2018
Posts
44
Reaction score
56
Hakuna anayekubali kuzaa na mume wa mtu; ikumbukwe kuwa mapenzi ni hisia. Unaweza kuwa kwenye mahusiano na mme wamtu ... ile mnaendelea kuhudumiana .. mimba.
Unakataa kwamba huyo mume wa mtu humpi taarifa ...

Mimba unambambika mwingine unayempenda zaidi ... mtoto anazaliwa .. majanga (Katoto kanaugua mambo ya ajabu ajabu)

Unaenda kupata ushauri wa kitaalamu, unaambiwa mtoto alompa jina sio baba yake ...

Unamrudia mme wa mtu ili kumnusuru mtoto.

Nimeongea na wazee wengi (wamama kwa wababa) wanasema hilo lipo. Binafsi iliwahi kunitokea ... binti kapata mimba kakurupuka kurudi kwao kijijini pasipo kunambia lolote. Kafika huko kampata mtu fasta akamuoa. Anakuja kujifungua mtoto anaanza kuwasumbua. Kilichofanyia ni kusafiri na mtoto hadi nilipo ili ifanye kama walivyoelekezwa na mtaalam wao.

Mtoto hadi sasa anaendelea vizuri tu.

Imekaaje hiyo!
 
Tuelekeze majadiliano yetu kimila ama kisayansi?

Ukumbuke kuna watoto wanazaliwa na madada poa, mimba zao zikitungiwa kwenye madanguro!

Majina ya kuwatuliza hutolewa na nani?

Baba zao halisi hujulikanaje?

Asikwambie mtu, mkeo ama mpenzi wako kama mchepukaji mzuri wa kuweza kutembea na wanaume zaidi ya mmoja kwa siku, atakayemtunga mimba kumfahamu siyo jambo jepesi.

Saazingine hata huyo mtoto na wewe ukawa siye baba yake.

Kutokana na tabia ya huyo mwanamke wako, ya kudandiadandia wanaume, si wa kuamini maelezo yake hayo ya kubabanganya bila msaada wa mkemia mkuu wa serikali.
 
....kugegedana bila kondom full utamuuuu...taabu taarifa ya mimba ijapoo...na kuanza kukataanaaaa ...uzembe wakoo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…