Ni msichana mmoja mrembo niliyedate naye kwa malengo ya kumuoa. Nikikwambia mrembo jua mrembo kweli kweli, Wema Sepetu mwenyewe atasubiri sana. Sema tu hajapata kiki.
Bahati mbaya sikuweza kumuoa kutokana na sababu za kimaisha.
Aliolewa na mtu mwingine wakaenda kuishi Dar.
Cha kushangaza huyu binti hakukubali kukata mahusiano na mimi. Tena huniambia upendo alionao kwa mume wake haufiki hata robo ya anavyonipenda mimi.
Huyu binti huja mara kwa mara mkoani, sio kwamba anawamis ndugu zake. No, analimiss dushe langu tu. Anasisitiza anataka anizalie mtoto (wenyewe bado hawajabahatika kupata mtoto)
Hakika kwake ni faraja na furaha sana kuendelea kuwa na mimi. Ila hali ni tofauti kwangu mimi. Nafsi inanisuta, naona simtendei haki huyu mwanaume mwenzangu wa Dar, maana yeye ndo mmiliki halali.
Najitahidi niache kula huyu mwanamke nashindwa. Hivi sasa napoandika yupo ananisubiri nitoke kazini, ananisistiza nitoke mapema saa sita niende kumpiga kachabali. Kafika jana kutoka Dar kwa mume wa Dar.
Sasa najiuliza hivi asilimia kubwa ya wanawake wako hivi? Hawana ujasili wa kuvunja mahusiano ya awali hata wakiolewa??
Na je nikiamua kuacha kuendelea kumpatia hitaji lake si ntamuumiza sana moyo huyu mwanamke? Acha niendelee kuchapa as long as yeye ndo anapenda.
Kuweni makini na wake zenu. Hasa kwa wanaume wa Dar mnao oa wanawake wa mikoani.