ingiza login details za iCloud Account (kama iko logged in, log out then log in again), iyo itakupa majibuImepatikana lakini bado kuna mkanganyiko na utata mkubwa sana kwa tuliye mkuta nayo,ndo maana nkaja kuuliza huku
Mkuu simu ni mpya kabsa wala sio refub maana hizi simu sijaanza kuzitumia leo ila nahisi jamaa watakua wamefanya mchezo mchafu sehem
Najua nnachokisema mkuu then mm sio wa kununua simu kkoo wala makumbusho twende polepole tujamaa gani wamefanya mchezo mchafu?? simu ni mpya ulinunua wapi?? ki msingi uliuziwa simu refub.
Chunguza emei na uangalie uhalisia wa simu.
Usijekua ulinunua makumbusho au Kko useme ni mpya
Hili nna waswas nalo sana,ujue ile simu ina imei namba mbili yan imei1 na imei2 sasa hapa issue ilivo naomba unisikilize kwa makini bro ukiingiza imei1 kwenye ile imei check inakuletea details tofauti kabsa na details zilizopo kwenye box ambalo ndo nilichukulia simu mfano simu kwa box ni black bt ukiangalia kwenye imei check inasema ni goldUkute Wamebadilisha board. [emoji3526][emoji3526] lakini wakibadilisha board serial number haziwezi kubadilika, kama Imei zinaendana basi hiyo ndo simu yako. Serial number sio kitu cha kuzingatia sana ndo maana ukienda polisi hawaombi serial number bali huomba Imei number, so kikubwa hapo ni Imei number.
Simu ninayo tumia mimi ina mahusiano gani?Mkwawa haya mambo unayaelewa kwel[emoji16][emoji16][emoji16]
Unatumia simu gani kwanza