Imebaki story

Latoya

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2013
Posts
660
Reaction score
457
Habari za usiku wanajamvi.ni muda niliadimika hapa jamvin kutokana na malezi na kazi ya kulijenga taifa.

Duh kweli time heals nimeamini.Imepita miezi 6 toka nimfume mzazi mwenzangu na mwanamke mwingine.

Kwelli niliumia na nilikuwa namwombea mabaya yamkute kwani alinicheat.iliniumiza kugundua kuwa alikuwa na binti mwingine behind my back.

Kweli siku hazigandi,mwanzoni nilikuwa nikimpelekea mwanaye amwone nilikuwa naumia sana moyo.
Basi muda umepita nikakubali situation na kumove on.Nilijiambia he is not the only fish on the ocean let me enjoy my little prince.

Mungu hamtupi mja wake nikahamishwa kazi na kwenda another area na cheo juu.Ikawa sipati muda wa kumpelekea mwanae amwone weekends,nikamwambia ukipata chance come nyumbani.

Haha siku kafika kwenye new makazi yangu alipigwa butwaa,na changes alizozikuta.Ofcourse na aliyenisaidia kumove on alikuwepo.Tukamkaribisha kwa bashasha ,akagoma kula akasema kashiba.basi tukamkirimu vivywaji na mazungumzo ya hapa na pale.

Akambeba mwanae akampiga picha then akaaga,akisema atasafiri kidogo akirudi atakuja msalimu tena,akaambiwa karibu.ila duh alikuwa kachoka hatari hadi moyoni nikamwonea imani.

Ila nikayakumbuka maneno yenu wana JF nikajiambia that's life.Ilikuwa lazima anitende ili nikutane na huyu wa sasa.Adios
 
Yawezekana huyo alikuwa na nguvu ya ziada underground ndo maana yakatokea hayo.
Pole,ila tambua kuwa wanaume huwa hawaogopi hali zao walizonazo.Huyo Jamaa atakuwa amefurahi kukuta mwanae yupo mazingira mazuri yasiyo mpa mawazo pindi awapo kwny kupambana huko.Maisha ni mlima
 

Naomba tu wa pili naye asije kuwa disappointment
 
Hiyo jamaa ni bachala afu anaishi kusela huku ana mtoto analekewa bila shida raia sampuli hii hawanaga stress manake kama ni sket zipo kama utitir kitaa
 
ha ha ha ha ha ha hongera zako mwaya kwa ku move on
 
X wangu nawe,umekuja kunizalilisha tena huku.Mi mbona niko fresh Tu,hata sina wivu na wewe.Ulikuwa unanibanaga Tu.Bora hata umepata bwana mwngine,Mungu ashukuriwe

Tamwijia mwanangu niishi nae nikitoka safari,kwa kipindi hiki naomba uniandalie kila kitu chake ili hata kuja kwako ibaki story square
 
Haaha ili umuue kwa njaa mwenyewe unajisikilizia

Umeona kanona ndo unakumbuka una mbegu sehemu,
Endelea kuja kumsalimu ukiweza tu

 
Naona umepata faraja mzazi mwenzio kuchoka! Halafu hii habari ya kumwambia mzazi mwenzio akijisikia tu aje nyumbani kumuona mwanae (kwa nia nzuri tu) ndio inawafanya vijana WENGI kuogopa kuingia kwenye mahusiano na wanawake waliozaa na wengine.

Vipi jamaa angekuwa vizuri, katakata pesa imemkubali, ungemuona huyo anaekutunza sasa hivi ndio kachoka?!!
 
Jamaa kaachia kiti mwingine kakamata na maisha yanaendelea...Kila la heri uliyempata awe na upendo wa kweli maana ukitendwa tena hapo utajiona usiyo na bahati kabisa na kuna kauli mbiu inasema maisha ya mwanamke bila mwanaume hayawezekani...
 

Mahusiano ni Kazi kama zilivyokazi nyingine, so ifanye kazi vizuri ili isije haribika na hiyo mama!
 
Nipate

Nipate faraja ya nini?maisha yake hayanihusu
Atakate achoke it's none of my business
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…