JiweLinaloishi
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 3,737
- 2,139
hapo hata kidume hawezi ingia, sina hamu kabisa. sijimini amini kuwa niko ktk mwili wangu!
we boflo mshaanza kutamaniana na ninyi mwenzio ana hamira huyo.Ni pm tupange utaratibu wa kupiga picha bac
kwani mimba umejidunga mwenyewe ni kidume bana.teh teh teh. sio kweli, mimba ndio imenituliza!
hivi unajuwa kusikia kitu na kudhania wewe haliwez kukupata? ndio mimi sasa!
nibembeleze basi kirusha roho. :A S 465:
Siku zinavozidi kwenda hasira zinazidi kunipata. mie hata sina hakika kama hawa watoto nitalea tena
kama nilivyomuahidi my darling Kaunga. Mimba gani inaniharibia shoo hivi? nina
chunusi balaa wala siwezi kujitazama usoni. Litumbo hilo kama vile nimemeza dunia, siwezi
?kunyanyuka wala kuketi sababu eti MziziMkavu kasema niwe bed rest. Sina hakika na ujuzi wao.
In shoti mvuto wangu, uzuri wangu na my SEXY body vimepotea kama ndoto.
Hadi kiuno kimepotea siwezi hata kuvaa urithi wa shanga za bb. nimebaki nazivaa miguuni
tu na mkononi. Kinachonipoza saizi ni miguu yangu ambayo haijabadilika hata kdogo.
Nimebadi tu na my sexy legs, nimeona niweke ushahidi wa picha yangu.
Ushauri pliiiz! nifarijini, nipozeni na nibembelezeni nijisikie vizuri. lara 1 upo mamito? come this way.............
No mwaaaaaaaaaah! hali mbaya :A S cry:
Siku zinavozidi kwenda hasira zinazidi kunipata. mie hata sina hakika kama hawa watoto nitalea tena
kama nilivyomuahidi my darling Kaunga. Mimba gani inaniharibia shoo hivi? nina
chunusi balaa wala siwezi kujitazama usoni. Litumbo hilo kama vile nimemeza dunia, siwezi
kunyanyuka wala kuketi sababu eti MziziMkavu kasema niwe bed rest. Sina hakika na ujuzi wao.

Erotica, kikuku hicho cha dhahabu miye hoi, natamani angalau kukupa dry kiss, halamu miye mbovu wa kweli wa wajawazito, plz weka picha ya tumbo lako.