ndugu yako
Senior Member
- Mar 30, 2013
- 193
- 97
Idadi ya wanajimu imeongezeka recently
Just wait and see!!
Yaani hapo namba moja umekosha sana roho yangu,penda sana mimi mamvi a.k.a EDO
Mbona orodha yako imechanganya mamba na kenge?Haya ndiyo majina matano yatakayoteuliwa na CC ya CCM kwenda NEC:-
1) Edward Ngoyai Lowassa
2) Dr. Asha Rose Migiro
3) Judge Augustino Ramadhan
4) Prof. Mark Mwandyosyai
5) Mizengo Peter Pinda.