Hapa hakuna maelezo zaidi ya umma,waliofikiria kama CDM imepoteza mwelekeo wamejidanganya wenyewe.
ukifuga nyoka andaa unga wa kumlisha,sisi unga wetu unawatosha watoto wetu tu watanzania waliokatishwa tamaa na mfumoCCM hatuna unga wa kufugia nyoka mkigoma and company ndio maana tukamtupilia nje.sasa tunasonga mbele.ajenda ya mijoka tushaizikilia mbali
hii hatari sana shehe wangu presha inapanda presha inashuka...
Operesheni Pamoja Daima ndiyo habari ya mujini kwa sasa.
hivi kwa nini hizi habari nzito namna hii sizioni kwenye magazeti na tv kuna shida gani. Yani magazeti mengi siku hizi yanaripoti udaku tu.
Si kila ahudhuriaye mkutano wa chadema ni mwana chadema
Daaah Naipendaje wewe acha tuCCM inabidi wamkabe koo Zitto ili awarudishie pesa zao kwa vile ameshindwa kuisambaratisha CDM!
![]()
lengo ni kuwapa elimu ya uraia waweze kujitambua na kuzisimamia,na kuzilinda raslimali zao bili woga!!!