Imani ya wananchi kwa CHADEMA

Imani ya wananchi kwa CHADEMA

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,493
Reaction score
12,453
Licha ya majaribu waliyo pitia hivi majuzi, na uzushi wa wanafiki eti chama kimepoteza muelekeo kumbe ni propaganda za kidwanzi. watanzania bado wana imani na cdm tena umaarufu wake ndio umeongezeka mara dufu ushahidi ni muitikio wa raia kwenye mikutano ya cdm leo kwenye maeneo tofauti tofauti nchini.

CDM bila zitto inawezekana..
 
Operesheni Pamoja Daima ndiyo habari ya mujini kwa sasa.
 
CCM inabidi wamkabe koo Zitto ili awarudishie pesa zao kwa vile ameshindwa kuisambaratisha CDM!

attachment.php
 
Hii ndiyo Tabora bana.Chezeya Chadema weye.
 
Si kila ahudhuriaye mkutano wa chadema ni mwana chadema
 
mtaambiwa wamefata "helkopta"
 
Mungu ni Mwema magamba, Wanazidi kupata mapigo bila kujua kwa kuwa wamefunga masikio kushambulia Chadema huku wakijisahau kufanya majukumu yao kama ipasavyo. Kitakachowaangamiza zaidi ni hili baraza kaputi lililorekebishwa hivi karibuni. Madeni yanaongezeka huku mahitaji ya fedha yakiwa ni mengi. Mchakamchaka wanaopelekwa nao sasa baada ya yule kiusi kuondolewa watajuta kumjua Zitto. Makamanda pamoja sana tushukamane usiku na mchana tukiomba kwa Mungu wetu mmoja ambaye tunamwabudu katika roho na kweli (Wakristo na Waislamu), ambaye ni mungu wa Kweli. Mpenda Amani, Mapendo na Ukombozi wa kweli. Pamoja sana tutashinda wadau.
 
Si kila ahudhuriaye mkutano wa chadema ni mwana chadema

Hata kama sio mwana cdm ila ukihudhuria mkutanao wa cdm dhambi zako zote za kimagamba cuf,nccr,tlp,udp basi zinasamehewa na unaongolewa na kubatizwa kwa jina la chadema..
 
Zittoo salamu zako uko uliko kwenye mahandaki cc chadema na uhafidhina wetu tuna watimulia vumbi
 
Ukiitishwa Uchaguzi mnaambulia za uso, halafu mnabaki mnalia lia kuwa mmeibiwa kura.
 
Zittoo salamu zako uko uliko kwenye mahandaki cc chadema na uhafidhina wetu tuna watimulia vumbi

Lazma zzk huko aliko atakua amepata vidonda vya tumbo tu mawazo yana mzonga alitaman cdm ife kumbe na kwanza mambo yanaanza....
 
Back
Top Bottom