Kama hapa bongo hii dini ipo basi siyo vizuri ni kusikitisha na kuhuzunika ni bora waendi vituo vya afya waipeleke huko hiyo damu ambayo ya kujipiga hivo vifua vyao na vijembe koliko kuimwaga barabarani na huko hospitali kuna wagonjwa huwa wanahitaji damu hasa mafakhiri au masikini tena na tafakuru na tafakari hii siyo vizuri