Wakusolve
JF-Expert Member
- Jul 30, 2020
- 501
- 791
Yakobo 2:17
Vivyo hivyo na imani, isipokuwa ina matendo, imekufa nafsini mwake.
Katika Bibilia inakumbusha umuhimu wa kuchukua hatua katika malengo , Hivyo unapo omba Mungu akubariki au afungue milango katika fursa mbalimbali inabidi nawe uweke bidii kwa hizo fursa unazoitaji.
Katika hicho kifungu cha yakobo 2:17, 26 inakumbusha imani pekee kuhusu Mungu atakubariki kufanikiwa katika maisha yako
huku huchukui hatua yoyote ni kitu hakiwezekani na ndoto ulionayo itakufa bila kuchukua hatua, Mungu anataka uombe na kufanya kazi.
Una ndoto au malengo ya kukamilisha jambo fulani unatamani Mungu akusaidia anza kuchukua hatua ndogo ndogo kwa kile ulichonacho huku ukimtanguliza Mungu mbele atakusaidia katika safari yako hadi utashangaa kwa nini ukuchukua hatua mapema.
Chukua hatua usiangalie una umri gani, upo sehemu gani Mungu anafanya yale kwa binadamu Magumu kuwa mepesi hivyo usikate tamaa.