Imani hizi zinatupeleka wapi?


Dah... Kumbe kwenye haya madhehebu kuna vitu hivi?? Sijawahi kufikiria aiseee...
 
Ukifuatilia mambo ya mila za watu utashangaa mambo mengi sana,
1.Wengine ile mila ya mke wa marehemu lazima afanye mapenzi na mwanaume wanaita kumtakasa(WAKURYA}.


2.Bint kabla hajaoelewa inatakiwa kwanza atembee na kaka yake(WAMBULU}.

Mkuu,

Mie hiyo mila ya mtu kulala na marehemu ili kutakasa huwa inanitisha na kunishangaza kuliko!

Hivi inawezekanaje mtu akalala kabisa na mfu? tena kama marehemu ni mwaname eti mwanamke anaweza kubeba mimba kabisa,na nasikia kuna majina maalum ya watoto wanaopatikana kwa njia hiyo!

Hii huwa inanishangaza sana!
 

Hii ndio balaa Sasa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…