Mkuu si kweli, hilo tukio jana mm nimelifuatilia sana kupitia CNN INTERNATIONAL, walikua wanafanya live coverage kabisa tena nikashangaa ALJZR ndo hawakuwa wakifanya coverage that time........Kama ujuavyo, linapotoea tukio la mauwaji katika nchi za Magharibi, vyombo vyote vya habari vya nchi hizo usimamisha vipindi vyote na kufuatilia kwa ukaribu tukio zima, huku upelelezi wa nguvu ukiendelea. Lakini hii imekuwa tofauti kwa Imam Maulama Akonjee na mwenzie Thara Uddin katika msikiti mmoja huko Marekani jana, tangu alipouawa hapakuwa na utofauti sana na siku za kawaida, hakuna chombo cha habari wala polisi wanaojiuhusisha sana na tukio hilo.
Mkuu si kweli, hilo tukio jana mm nimelifuatilia sana kupitia CNN INTERNATIONAL, walikua wanafanya live coverage kabisa tena nikashangaa ALJZR ndo hawakuwa wakifanya coverage that time........
Sawa, lakini hakuwa serious sana kama tulivyozoea
umeweka bendera ya israel,ungejua wenzio wanavyowachukia nyie wajukuu wa maria,wala usingeweka,huo upuuzi,myahudi yupo kivyake vyake,
Angeuwawa padre ungesikia magaidi wa kiislam wanataka kuvuga uchaguzi, ila kwa sababu kauwawa anayestahiki kuuwawa wanadai wako bize na uchaguzi
Na hata wale wambea wa humu wenye midomo kama ya mabata siwaoni leo,Angeuwawa padre ungesikia magaidi wa kiislam wanataka kuvuga uchaguzi, ila kwa sababu kauwawa anayestahiki kuuwawa wanadai wako bize na uchaguzi
Wewe umechanganyikiwa siyo bure, yaani kifo cha hilo gaidi ndo iwe mwisho wa marekani? hii ni zaidi ya bangi sasa.Inawezekana hizi zikawa ndio zama za mwisho za Marekani.....
Wewe umechanganyikiwa siyo bure, yaani kifo cha hilo gaidi ndo iwe mwisho wa marekani? hii ni zaidi ya bangi sasa.
Hao siku zote nibendera fuata upepo
Ni kweli ndugu yangu, lakini maoni yako yalivuka mpaka, Haiwezekani mtu mmoja, gaidi mmoja tu eti afanye mwisho wa USA ufike, hata Kama ni maoni yalikuwa ni ya kushangaza sana.Asante ndugu....lakini sidhani kama kuna sehemu nimekutukana.....zaidi ya mimi kutoa maoni yangu......jifunze kuwa mstahimilivu ndugu.....tupo kwenye jamii yenye watu wenye maoni tofauti....huku kila mmoja akiwa na uhuru wa kutoa maoni yake.....!!
Ni uvivu wako tu habari zmeandikwa sana media kubwa za marekan,russia mpk middle east wewe km ulikua unasubiria uckie kupitia TBC hayo ni matatizo yako binafsKama ujuavyo, linapotoea tukio la mauwaji katika nchi za Magharibi, vyombo vyote vya habari vya nchi hizo usimamisha vipindi vyote na kufuatilia kwa ukaribu tukio zima, huku upelelezi wa nguvu ukiendelea.
Lakini hii imekuwa tofauti kwa Imam Maulama Akonjee na mwenzie Thara Uddin katika msikiti mmoja huko Marekani jana, tangu alipouawa hapakuwa na utofauti sana na siku za kawaida, hakuna chombo cha habari wala polisi wanaojiuhusisha sana na tukio hilo.