WISE 2012
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 634
- 460
Imagine we ni mwanafunzi ulofukuzwa udom juzi,unarudi home unakuta pamebomolewa kisa pako bondeni.
Unaenda kwa shangazi hata chai anashindwa kupika kisa bei ya sukari iko juu.unaona bora uende kwa mamdogo walau akusaidie kwani ye ni mkuu wa mkoa wa shinyanga unamkuta ndani kwa presha amelala baada ya kutumbuliwa.
Unawaza utaendaje skuli unakumbuka baba anauza mitumba unamuendea anasikitika kukueleza kua ni muda mfupi umebaki mitumba ipigwe marufuku.
Unaamua kuomba kazi kwenye kiwanda cha mifuko ya plastiki (malboro) bosi anakuambia angekuajiri ila serikali ishatangaza kuzuia uzalishaji wa mifuko ya plastic.
Duuh kampuni nyingine wanakuahidi kukupigia simu mwishoni mwa mwezi ila unakumbuka mwezi huu kasimu kako katafungiwa.