Imagine Polisi ndio wangekuwa mahakimu Tanzania

Jadi

JF-Expert Member
Aug 2, 2011
1,494
860
Hivi hawa Polisi sisiem walivyo maharage ya mbeya kutii amri za CCM ndio wangekuwa Mahakimu. Hivi si magereza yangejaa wapinzani. Sio siri lazima kitu kifanyike ili wasilazimishe sheria kuadhibu wasio na hatia. Nawalaani hawa Polisi, na hawa makamanda wanaoonea watu nao waonewe wakistaafu huko mtaani ili waheshimu uhai wa wenzao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…