Imagine anawaza nini huyu?

jinsi gani atatoka kimaisha huku akiwa hata hana idea ya kazi gani afanye..
 
daaah, I see, hii nchi hii!
 
Anawaza CCM itaachia madaraka lini at least neema ipatikane.
 
Huyu yupo nchi za vita kama Sudan kusini nafikili
 
Hayi ndivyo yalivyo maisha ya watanzania wengi vijijini? Hawajui ni kwanini wako katika hali hiyo, lakini pia ndio wanaoongoza kwa kupiga kura kwa gharama ya kofia/vitenge au hela kidogo ya Chai, chapati na maharage (CCM)
 
ni vipi atanunua boda kwa kidogo alichonacho.
 
anawaza jua litazama saa ngapi awarudishe mifugo nyumbani....kwa wale waliochunga wanajua kwamba ukiwa machungioni unataman jua kuzama mapema
 
Mkuu hii ni Somalia huko ambapo kunakuwa na mabalaa ya njaa...

Kuna wakati mtu ukijamba tu lazima watu wakuandame maana wanajua umekula, haiwezekani mtu ajambe kama hajaweka chochote tumboni...

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…