Imagination juu ya masupastaa wa JF

yalaaaaaaaaaaaa.... itakua sababu ya ubishi tu mazee.... mie nimefanana boyz II men aisee (ingawa kibongobongo watasema nimefanana na rashid kawawa), kloro kafanana sana na Wakuvanga
Hahaha!.....
 
kule nimetimuliwa na Gaijin kama mwizi mwinzi, sirudi kule maana ntatolewa macho na kibarua chenyewe FF anaweza kukimwagia dizeli anytime.......... ngoja tuwaachie lao hilo, sie tile tinywe, tikorome tu

Msijali lile li-thread lishapotezewa, Chit-Chat isharudi kama awali....stress free
 
Mbona haminisemi mimi siunaniona!!hakuna haja ya kunijadili it is the way i am!!
 
Afu we ushatimuliwa kazi ya umodereta? Yaani umeishia kwenye probation?

Ebana wee, masharti magumu. Unatakiwa haat Babu ODM akifanya kosa umseke rumande! Mi' ntaweza wapi!
 
kule nimetimuliwa na Gaijin kama mwizi mwinzi, sirudi kule maana ntatolewa macho na kibarua chenyewe FF anaweza kukimwagia dizeli anytime.......... ngoja tuwaachie lao hilo, sie tile tinywe, tikorome tu

😛oahuo ndo mpango kamili
 
Niliwahi kwenda mara moja, tatizo mwenyekiti alifika keshalewa hivyo mkutano ulivurugika kiasi flani...
Tatizo unakuja kwenye mikutano alfajiri wakati wengine tunajiandaa kwenda shamba......

Vikao jioni bana!
 
Tatizo unakuja kwenye mikutano alfajiri wakati wengine tunajiandaa kwenda shamba......

Vikao jioni bana!
Hahaha....sasa ningefanyaje wakati mwenyekiti alilipia ukumbi kwa masaa?....mkutano mwingine ni tarehe ngapi tena?...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…