Habari ya majukum mkuu, kwema?
Hii google wanayo, una click au kushikilia kwenye picha kwa muda, kwenye hizo option itakupa "search google for this image" ukibonyeza itajaribu kutafuta picha kama hiyo au zinazokaribiana na kukupa maelezo yake. Lakini lazima picha hiyo iwe tayari ipo kwenye mtandao lakini.
Ila kuna App maalum za kuscan image na kuhusisha na wahusika hasa kwa wenzetu walioendelea ambao taarifa zao nyingi zipo mtandaoni na kwenye mifumo rasmi.