Ze burner JF-Expert Member Joined Jan 5, 2011 Posts 514 Reaction score 84 Aug 9, 2018 #1 Ni mwenye akili timamu ila najiuliza, mwanadamu huyu anawezaje kuflash choo kwa maji wakati yeye mwenyewe anaondoka bila kutawadha na akijaribu Sana anajifuta kwa tishu! Hii nii akili matope?
Ni mwenye akili timamu ila najiuliza, mwanadamu huyu anawezaje kuflash choo kwa maji wakati yeye mwenyewe anaondoka bila kutawadha na akijaribu Sana anajifuta kwa tishu! Hii nii akili matope?
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,498 Reaction score 27,813 Aug 10, 2018 #2 unaona hiyo ni akili au tope??
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 54,929 Reaction score 134,027 Aug 12, 2018 #3 mbona sio ajabu
sixlove JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 579 Reaction score 414 Aug 13, 2018 #4 AKILI ILIYO KWENYE TOPE