I'm still waiting for her message πŸ˜”

Ukifikia hatua hiyo unahitaji macho ya rohoni kuitambua kweli na Mungu hachelewi kukujibu.

Ni wewe kuona na kuamua kuchagua kudanganywa au kuendelea na maisha mengine.
mimi yalinishinda nikaamua kukaa pembeni alivyorudi nikamfungia vioo mpaka kesho
 
Hayo ndio maamuzi sahihi, ya nini malumbano? Muache aende kuna maisha mengine lazima yaendelee huwezi kuforce kumpenda asiyekupenda.

Huyo alichotarajia huko na alichokikuta tofauti ndiomana kajirudisha
nilimfungulia dunia akakutana na wana wa israel hawajui kubembeleza akapigwa matukio mpaka akaona ajirudishe, akakuta mwamba nipo ndani ya dunia nyingine.
 
Ni tamaa na ujuaji vinawaponza wengi, wanahisi uko kutakua kuna asali na maziwa…..kumbe hakuna lolote ni njaa na tabu
ni msoto mkali ila ndio hivyo bado watu wengi hupenda kukipa thamani kitu baada ya kukipoteza.
 
Apunguze uzungu madem wa bongo wana code zao ukileta uzungu sana wanakuona mtaliiπŸ˜‚πŸ˜‚ mwisho wa siku unawehuka bureπŸ˜‡
🀣🀣🀣🀣Eti mtalii.....ila Uzungu kama hivyo mie mwenyewe ningemletea kwaya huyu
 
We are on same boat jombaa ila yangu mimi kaniambia ana jamaa ake so nilikuwa ndani ya mahusiano ya mtu πŸ˜€ so mimi nilikuwa spare tyre akikosana na jamaa ake me ndo mfariji yakiisha wanarudiana so chatting nini inakuwa. Amnaa tena mpaka akutafute yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…