sijui hayo yote yametoka wapi malumbano..na vitu kama hivyo..mkuu..wala hamna udasi..wewe ungeflow nae fresh tu kumtupia swagger mbili tatu hao..mnahama..ila ni mtazamo tu..huo sema nimeshindwa kuelewa unavyosema tumia akili..like where did even remark nyie kugombana...en etc labda hukunielewa fresh..ila..hii ni chit chat..nothing should be taken seriously..or are you already serious brother..???Haikuwa malumbano mkuu, nimeweka tu tangazo nataka kuonana na lara 1, physically. Hebu tumia akili hapa: Tufanye wewe unataka kumtongoza mwanamke, utaanza kulumbana naye badala ya kufanya mazungumzo laini? You kidding! Watu wengi wanapenda kulumbana na wenza wao, that's why they end up ----ing their relationships! Sasa ulitaka tushindane, then what? Nani angekubali kushindwa, mimi au lara 1? lara 1 unamjua, unamsikia? Ningepoteza lengo la declaration yangu. Poa
sijui hayo yote yametoka wapi malumbano..na vitu kama hivyo..mkuu..wala hamna udasi..wewe ungeflow nae fresh tu kumtupia swagger mbili tatu hao..mnahama..ila ni mtazamo tu..huo sema nimeshindwa kuelewa unavyosema tumia akili..like where did even remark nyie kugombana...en etc labda hukunielewa fresh..ila..hii ni chit chat..nothing should be taken seriously..or are you already serious brother..???
Ampate wapi? Chezeiya nyodo za @lara1
rafiki huwa unasaidia mawaziri kuandika mikataba ya rasirimali zetu? ka sio naomba uombe hiyo kazi
sijui hayo yote yametoka wapi malumbano..na vitu kama hivyo..mkuu..wala hamna udasi..wewe ungeflow nae fresh tu kumtupia swagger mbili tatu hao..mnahama..ila ni mtazamo tu..huo sema nimeshindwa kuelewa unavyosema tumia akili..like where did even remark nyie kugombana...en etc labda hukunielewa fresh..ila..hii ni chit chat..nothing should be taken seriously..or are you already serious brother..???
Mie mods wakiniudhi tena kwa namna yoyote nitafungua blog ya kuwapublish wake zao tena wakiwa uchi.
Mie mods wakiniudhi tena kwa namna yoyote nitafungua blog ya kuwapublish wake zao tena wakiwa uchi.
Duuhhh Jamaa ume resurrect toka wapi ? naona ulikimbia huu uzi ila vipi uliweza kumbemba huyu mlimbwende?Lyamber yupo au amekufa?
Nimesema hivi, usiri ni kati ya mimi na lara 1. Thread ni kwa ajili ya public opinion/comment. Kusema don't, bado unataka kulimit my freedom! Who are u by the way! Kwa nn unashindwa kuelewa kwamba kuna mambo naweza kuongea hadharani na mengine kwa siri!