I'm Planning to Meet lara 1

Ushiboy, labda wanamjua, ndio ilikuwa maana yangu hasa kupata info pia.
 
Hakuna mtu niliyemfungulia thread mkuu, ni mitazamo tu ya watu.
Oooh samahani kumbe nami nilikumbwa na hiyo mitazamo I am very sorry. But anyway I wish you all the best in meeting lara1
 
Si umeona ulivyojilipua mbele ya hadhara hapa?
Umeonesha jamii yote kilicho moyoni mwako...kama si kilicho kwenye sehemu fulani nyingine za mwili wako...lol

Mkuu, kwahiyo nisawa na amejivua nguo hadharani!?
 
Kuna watu wanatokea watu hadharani physically, sembuse mie, watu8!
 
Mhhhhhhhhhh! A lawyer! IM IMPRESSED! A man is a lawyer so they say!!!!!!!!!!!!

As to your motive of meeting me i seriously dont understand! But ill go along with your show!

And why are people getting impression that IM SOME HOW HIDING MYSELF!

Come on people! Cut me some slack! TOO MANY PEOPLE KNOW ME IN THIS FORUM! AND YES! I STILL WRITE SHIT! (How Ironic)

I show up to any JF party there is. I just want to clear this once n for all!

1. So many people know me, Amu, Watu 8, Mtambuzi, Cacico, Mwa J, Sweet, Madam B, Marejesho, Rutashobolwa, ET AL! So i got nothing to hide.

2.I am always ready for a smack down on looks! I might not be a beauty or drop dead georgeous but im sure as hell OVER CONFIDENT ON HOW I LOOK! You can sure as hell tell me NOTHING! Inferiority complex aint my shit!

OH YEAH! SIMPLICITY IM READY FOR YOU! (I wanna see ya balls n how georgous you look AFTER ACTUALLY WRITING THE FACELESS THREAD! I just cant resist to see for myself! All those noise gotta have something BIG involved! Ang the negro cant just wait to see it!) Dont worry I HAVE SEEN WORSE!
 
Si umeona ulivyojilipua mbele ya hadhara hapa?
Umeonesha jamii yote kilicho moyoni mwako...kama si kilicho kwenye sehemu fulani nyingine za mwili wako...lol

Mhhhhhhhhhhhh! Mwache mwenzio! MTU MZIMA HATISHIWI NYAU! Remember your signature TO DO IS TO KNOW!!!!!!!!!!
 

Forget the so called faceless thread, that is misinterpretation. Karibu dada wa mujini.
 

sijakuelewa!!
 
Thank you lara 1, i like ur courage!
 
Forget the so called faceless thread, that is misinterpretation. Karibu dada wa mujini.

So lets start with the common protocol! CHATTING!

Ill start the conversion, I sense you are shy! I like shy guys! They talk less and chop money more (SHY GUY-Diana King)

So unaweza kuniambia wewe ni mwanaume wa aina gani? Whats special n unique abt you!?
 
Hahaha naona umeniwahi sio...
Haya kaka, kama waona hii ndio strategy yako numbero uno...basi ngoja siye wengine tukae kando tuone hili movie la blind date litaishia wapi...
All the best!!

Kuna watu wanatokea watu hadharani physically, sembuse mie, watu8!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…