listen,do me a favour go in my inner room bring me a shivel and hoe for I swear eneekandasaliniii I'm going to Burry you alive ...
Enzi za milenia mpya kuanzaanza hizi ndio zilikuwa movie zilizotawala bongo....Sijui nini kimekimbiza filamu za Nollywood Bongo au nao Kanumba wao kafa kama huku daslam [emoji41]
Enzi za Aki na Ukwa vs Sam loco...Full comedy
Nadhani holywood na wafilipino walijipanga sawa sawa shida ya filam za nolywood matukio yakawa yale yale na sio halisi ni maskini kampenda tajiri huyu kamloga yule uongo mwingiiii na technolojia ndogo