nkandereni
Member
- Sep 24, 2013
- 6
- 8
Pole sana!
Wewe jiandae na Masomo tu! Ukisafiri tu unajipangia kabisa kwamba wewe ni Single lady!!
Once a cheat....!
na kibaya zaidi natarajia kusafiri nje ya nchi kimasomo ndani ya miezi kadhaa ijayo......naona moyo wangu umechefuka kwa hayo na sina hamu naye tena......nafikiria kukaa nimwambie yote hayo sidhani kama nitaweza kuendelea zaidi naye...........naombeni ushauri wenu plz na nyie
habari za ijumaa wadau..........nina janga linanisumbua naomba mnisadie kwa ushauri plz......ni kwamba nina mahusiano na kaka mmoja na uhusiano haujafika mwaka, ni mtu ambaye tulipendana sana na daima nilikuwa nina furahia kuwa nae naye......siku za hivi karibuni amebadilika sana na nikimuuliza anasema hajabadilika ila ni frustration za kazi na mm nimejitahd sn kuwa karibu naye na kumuonyesha upendo kumuondolea frastrations za kazi.........ninamfahamu ex wake na majuzi hyo dada kanambia anamfatilia sn anataka wakumbushiane na vibaya zaidi kampenda rafiki wa hyo ex hyo ex kanionyesha ushahidi wa msg na kunitajia nyakati alizoniaga anakwenda kazini au amelala ila yuko na hyo dada.........kibaya zaidi jumapili aliniaga anakwenda kulala kwa ajili ya kazi jumatatu kumbe ameenda kuonana na hyo dada na nilipoambiwa nikampigia simu hakupokea............nimejisikia vibaya sana jamani kwann afanye hvo kama hataki tena mahusiano si angesema tu ningeumia ila ningeelewa kuliko kufanya unafiki anaofanya...........na kibaya zaidi natarajia kusafiri nje ya nchi kimasomo ndani ya miezi kadhaa ijayo......naona moyo wangu umechefuka kwa hayo na sina hamu naye tena......nafikiria kukaa nimwambie yote hayo sidhani kama nitaweza kuendelea zaidi naye...........naombeni ushauri wenu plz na nyie

Think about it. . . .BF wako anatembea na shosti wa X wake...
Wakati huo huo huyo X wa BF wako bado anataka wakumbushie na BF wako...
Shahidi wa hiki kiloja chote ni X wa BF wako...
Mwisho wa siku umemuamini X wa BF wako...
Nikiunganisha dots Bi Mkubwa naona uwezo wako wa kufikiri ndio umefika mwisho hivyo...and you're the centre of all the confusion
Bila kusahau OUT OT SIGHT..............
dada pole sana ndo ukubwa huo kwahiyo mwenyewe unasubiri akwambie mimi na wewe basi ndivyo?ni wachache sana wenye hekima hiyo nikiwemo mimi.dada kusoma hujui hata picha huoni?sikia angekuwa mume ningekushauri zungumza naye wala husiachane naye ila boyfriend lo!utatafuta vidonda vya tumbo bureeee mwishoni vidonda vya tumbo viamie mgongoni na hata hayo masomo huyaone magumu.ukisubiri akwambie waweza kujiua bure jipange fanya maamuzi yaliyosahii najua jinsi gani utaumia hila vyema wewe kamtamkie mimi na wewe basi kabla yeye hajakutamkia nahisi mtu wako ni tamaa tu ndo inampelekesha hivyo kuna mambo fulani atavimisi endapo akikwambia muachane maskini nakuonea huruma sijui ulikuwa na tabia ya kujitoa mno kwake kuliko yeye alivyojitoa kwako?tambia kuwepo yeye kwake kwa fanya wanaume wengine wenye kujua kupenda na kupendwa wasitoe yaliyomo moyono mwao.mama kapige buku ila kumbuka ukisha mwingiza mwanaume/ mwanamke jua umeingiza ibilisi sasa akishakamata moyo wako utapata shida sana endapo hukaendeshwa vibaya.mama kasome ondoa huyo ibilisi ulomkumbatia na Mungu akusaidie sanahabari za ijumaa wadau..........nina janga linanisumbua naomba mnisadie kwa ushauri plz......ni kwamba nina mahusiano na kaka mmoja na uhusiano haujafika mwaka, ni mtu ambaye tulipendana sana na daima nilikuwa nina furahia kuwa nae naye......siku za hivi karibuni amebadilika sana na nikimuuliza anasema hajabadilika ila ni frustration za kazi na mm nimejitahd sn kuwa karibu naye na kumuonyesha upendo kumuondolea frastrations za kazi.........ninamfahamu ex wake na majuzi hyo dada kanambia anamfatilia sn anataka wakumbushiane na vibaya zaidi kampenda rafiki wa hyo ex hyo ex kanionyesha ushahidi wa msg na kunitajia nyakati alizoniaga anakwenda kazini au amelala ila yuko na hyo dada.........kibaya zaidi jumapili aliniaga anakwenda kulala kwa ajili ya kazi jumatatu kumbe ameenda kuonana na hyo dada na nilipoambiwa nikampigia simu hakupokea............nimejisikia vibaya sana jamani kwann afanye hvo kama hataki tena mahusiano si angesema tu ningeumia ila ningeelewa kuliko kufanya unafiki anaofanya...........na kibaya zaidi natarajia kusafiri nje ya nchi kimasomo ndani ya miezi kadhaa ijayo......naona moyo wangu umechefuka kwa hayo na sina hamu naye tena......nafikiria kukaa nimwambie yote hayo sidhani kama nitaweza kuendelea zaidi naye...........naombeni ushauri wenu plz na nyie