Life was not good without you.....
Hata mimi hivyo hivyo watu8
Kwani huyo Tonykp alienda wapi?
hata mimi nimejiuliza hivyo hivyo...
Hata mimi hivyo hivyo watu8
Tonykp where were you?
Mie ndo kwanzaaaaa namuona leo huyu. Lol!!
huyu ndugu stats zinaonyesha kajiunga jana, leo tayari anasema I am back......na kutuhakikishia alitumiss sana..... au kajivua gamba? kuwa muwazi Tonykp tukusaidieHata mimi nimejiuliza hivyo hivyo!!
Alivoondoka aliaga?hata mimi nimejiuliza hivyo hivyo...
Yap wifi, kumbe na wewe umemshtukia eeh?huyu ndugu stats zinaonyesha kajiunga jana, leo tayari anasema I am back......na kutuhakikishia alitumiss sana..... au kajivua gamba? kuwa muwazi Tonykp tukusaidie
Mie ndo kwanzaaaaa namuona leo huyu. Lol!!