Salaam wakuu,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 20. Napatikana mkoani Mwanza kwa sasa na ni mwanafunzi wa chuo kikuu.Naweza kuwa msaidizi katika shughuli zozote za IT kwa firm yoyote au mtu binafsi.
Sihitaji ujira wowote, japo ukipendezwa na ufanyaji kazi kwangu unaweza nipa chochote .Lengo langu kuu ni kutafuta experience, exposure na connections.
Nina ujuzi katika:
-Minor computer maintenance
-Matumizi ya Html na Css
-Ms.office
-Trouble shooting mbalimbali za computer.
Nitakuwa available kwa mwezi mmoja.Ninahitaji Sana kupata exposure katika maswala yoyote ya IT iwe computer programming,Networking au computer maintenance.
Natanguliza shukrani.