banburydude1
Member
- Oct 7, 2022
- 62
- 71
Mpeni kazi kijanaWeka tangazo lako kwa Kiswahili.
Pia eleza sifa zako.
Account ipo mkuuGari ninayo, Una Account ?
Nitumie namba nikupigie mkuu kama bado gari ipoGari ninayo, Una Account ?
Gari bado ipo mkuu? nina akaunti na zipo active gari ndio sina unanisaidiaje?Gari ninayo, Una Account ?
Kwa dereva au mwenye gari?Hvi uber kwa siku unaweza ingiza shngap?
Ndadavulie Kwa woteKwa dereva au mwenye gari?
Naamin mambo yatakaa vema tu. Kuwa mvumilivu utapataI used to be a Uber driver in the City of Dar es salaam for a year and half, currently I don’t have a car, I am looking for someone who can hire me as his/her driver for a contract or normal way. Please Reach me on +255 787 711528 if you are looking for one.
Thank you.
Ipo hivi kwanza kinachotokiwa kwa dereva ni kuwa amejiandikisha kwenye hizo hudumaNdadavulie Kwa wote
Mbona kuna jamaa mmoja aliniambia anaweza akaingiza laki kwa siku..yeye ni dereva halafu gari lina mfumo wa gesiIpo hivi kwanza kinachotokiwa kwa dereva ni kuwa amejiandikisha kwenye hizo huduma
Pia kwa mwenye gari lazima awe na gari la biashara au anaweza kutumia hata private lkn kisheria hailuhisiwi ila watu wanatumia
Kila mtu ana utaratibu wake na hesabu yake kulingana na gari lake au na anavyotaka yeye mwenye gari siku zote dereva anafata mwatakwa ya mwenye gari
Faida kwa dereva ni kile anachokipata baada ya kulipia huduma ya tax mtandaoni makato yao kamesheni mafuta na hesabu kwa boss wake kile kinachobaki ndio cha dereva huwa hakina kiwango maalumu kama hesabu ya boss na kuna siku dereva anaweza asipate kitu kabisa
Kwa mwenye gari hapo inategemea na aina ya gari hali yake na ubora wake kwa gari ya biashara ambayo imetimia kila kitu kawaida hesabu huwa 175000 mpk 120000 kwa wiki note: inategemea na gari kwa icho kiwango service inaweza kuwa kwa dereva au kwa mwenye gari ukipunguza inakuwa juu yake ukiongeza inakuwa juu yako ila kuna watu wanapeleka hesabu 100000 inategemea
Sasa kwa mwenye gari naweza kuingiza si chini 500000 kwa mwezi
Kwa dereva anaweza kuingiza si 150000 kwa mwezi huwa inategemeana kiongozi haina kiwango
.SIJUI KAMA NTAKUWA NIMEKUJIBU VYEMA
Ni sawa kama gari ni la kwake na lina gesi ila kama anapeleka hesabu laki kwa siku kwa dereva tu hapana labda kama gari ni lakeMbona kuna jamaa mmoja aliniambia anaweza akaingiza laki kwa siku..yeye ni dereva halafu gari lina mfumo wa gesi
Iyo laki inaweza ndio ikawa ubao wa siku yaan hela zote alizo beba siku nzima sasa hapo toa kamesheni ya bolt toa mafuta toa hesabu ya boss anachobaki nacho ndio chakeMbona kuna jamaa mmoja aliniambia anaweza akaingiza laki kwa siku..yeye ni dereva halafu gari lina mfumo wa gesi