W/end imeisha ila ...
Nikiwa nimekaa sehemu nachart na binti ambaye kiukweli tumekutana fb; tukapeana namba za simu - tukapanga kuonana J.pili. Wakati naendelea kuchart naye ... mara mpenzi wangu akanipigia simu na kunambia kuwa anataka tuonane kuna jambo anahitaji kunishirikisha. Nikamruhusu aje nilipo tuongee ili niendelee na program zangu.
Ile anakuja akapendekeza twende sehemu ile ile ambayo tulikuwa tumekubaliana na huyo mtu wa mtandaoni. Nikakatakaa ila yeye akawa anasisitiza twende tu - tukaenda.
Ile nafika nikakutana na binti mwarabu - mrembo kweli kweli. Nilichokifanya nilimtaarifu kuwa ndo mimi iila asininipigie simu - tuchart tu. Basi - tukakaa meza jirani - yule mwarabu ndo alikuwa wa kwanza kuichokoza meza yetu kwa kuturushia round moja. Mara akaomba kuhamia kwenye meza yetu. Mpenzi wangu akamkubalia - akaja akakaa.
Kiujumla nilipata muda mgumu kwa sababu sikuwa na namna ya kuendeleza maongezi na huyo mrembo mpya.
Ila tunaendelea kuwasiliana ... na maongezi yanaenda vyema. Najiuliza ni kwa nini huyo mpenzi wangu alikomaa twende sehemu hiyo?