Ilishawahi kukutokea hii?

Dejane

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
51,118
Reaction score
72,600
Unaambiwa kitu kama unapewa umbea wa fulan halaf nawe ukamuambia fulan huyo ulomsimulia akaenda kumuelezea mhusika alokuwa akisemwa kwa stori huyo ,mhusika akaface alosimulia huo ubuyu ,nyie kukaa na ubuyu bila kuusema ni kazi nyie msiwe mnatuambia muwe mnabakia nayo moyoni
Nilisimuliwa kitu kuhusu ndugu yangu ,mi nikamuambia mama yetu,mama nae nikamuambia usiseme unyamaze yaan kaenda kusema kama yalivyo nilivyomsimulia nyiee [emoji2301][emoji2301][emoji2301][emoji2301]

Huwaga mnafanyaje ikitokea hivi yaan mtu ukimuambia usiseme ndio anaenda kusema [emoji24][emoji24][emoji24] nilijua mama atakaa kimya na nilimsisitiza kweli
Umbea huuu[emoji57][emoji57][emoji57]
 
Silence is the most powerful tool to avoid problems
 
Umbea ni maelezo au habari yanaweza kupungua au kuongezeka pale unapofikisha kwa mtu na mtu kufikishia mwengine.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umenikumbusha yule mama muhaya.
Raha ya umbea ni uutoe, shida ni kwenye kusutwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nishauri ndugu nifanyeje hapa alonipa ubuyu nimekataa kuwa sijasema lakin nimesema ni mim[emoji24][emoji24]
 
Nishauri ndugu nifanyeje hapa alonipa ubuyu nimekataa kuwa sijasema lakin nimesema ni mim[emoji24][emoji24]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Endelea kukana, hata kama walikurekodi sema sio sauti yako ni mkono wa baunsa.
 
Nawadharau sana watu wambea, naonaga kama wamekosa cha maana cha kufanya kwenye maisha yao.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Endelea kukana, hata kama walikurekodi sema sio sauti yako ni mkono wa baunsa.

Nimekana kwa alonisimulia kuwa sijasema lakin ndugu yangu kamlalamimia kuwa ni yeyey aliniambia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila nimekana nataka mbinu nyingine niwavuruge halaf mama kazima simu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…