Ilipojulikana kuwa umempa Binti Ujauzito au Binti tayari umebeba Ujauzito bila wazazi wa pande zote kujua, changamoto gani ulipitia?

Pole sana!!
Hahaha kama ni mwanafunzi lazima jambajamba ikushike mabaharia miaka 30 mingi aisee

Kwa Mimi ni tofauti niliyempa mimba hakuwa na wazazi wala hawajui same kama Mimi tu .tulikulia orphanage at that time nilikuwa nimeanza najitegemea yeye alikuwa anajitegemea lakin sio imara still kuna familia ili m adopt nilikuwa nahofu kidogo na kauchumi kangu katumbo kanauma kila nikiwaza ila na kafuraha kidogo ila yeye alikuwa na furaha maana hakuna ndugu anaemjua wala familia nadhan mtoto angekuwa faraja kwake

Sadly nilimpoteza mama na mtoto I mean alikufa na ujauzito wake

I miss her

Sent using Jamii Forums mobile app

Pole jamani nimeumia kweli kweli
 
Nilimpa binti mimba, hakuwa mwanafunzi nikamshawishi aitoe mimba akakataa kata kata!

Sitasahau nilipigwa biti na polisi na ustawi wa jamii wakanipa msukosuko balaa.
Walipoona bado nipo imara, wakapeleka taarifa kwa Mbunge. Ndugu mbunge akaandaa gari na polisi, maana ni ndugu yao!

Uzuri wa bahati wakamuuliza binti awape mwongozo. Binti akawaambia kwa sasa jamaa ameshasepa. Maana walipanga kuniharibia life tu. Maana walitaka wanibambikie huko hata kwa kosa lolote.

Huwa nikiwaza, nabaki kumshukuru Mungu tu kila siku;

1. Nikimuangalia mtoto niliyekuwa nataka afanyiwe abortion! Alivyo kidume mzuri anayefana na baba yake!

2. Nawaza tu kama ningebambikiwa kesi nzito kwa hasira za ndugu Mbunge, mtoto angekuwa anaambiwaje! Na support ninayoitoa kwa mtoto asingeipata.

3. Mama yake, japokuwa alishaolewa siku nyingi, hajabahatika kupata mtoto mwingine hadi leo. Mungu ainusuru ndoa yake.

Namshukuru pia kwa kutataa kuitoa mimba.

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu mna matukio
 
Wakuu Salaamu,
Poleni na majukumu ya kutwa nzima ya leo.

Katika hatua mbalimbali za maisha, tunakutana na changamoto nyingi ambazo ni sehemu ya maisha yenyewe. Changamoto nyingine tunaweza zitengeneza wenyewe kwa kujua au kutokujua na mwishowe tukanufaika ama tusinufaike ila tutakua tumepata ufahamu kwa kiasi fulani kupitia tulichopitia maishani

Katika harakati za kukua hadi sasa, sijawahi mpa ujauzito binti yeyote hivyo hadi muda huu sina mtoto ila mipango iko njiani.

Nilikua na rafiki yangu wa karibu (me) ambapo mwaka fulani alimpa binti mmoja ujauzito na kupelekea huyo dada (form 3) kuacha masomo. Wazazi wa binti walifata sheria inavyodai ila wazazi wa huyo rafiki yangu walifanya juu chini ili hili jambo waweze kulimalizia nyumbani na siyo kupitia sheria kwani yule kijana angefungwa miaka 30 gerezani. Basi, wazee wa ukoo waliitana kwa kila familia kwaajili ya kikao ili waone waamue vipi ila kwa wakati ule hawakufikia muafaka maana wazazi wa binti walitaka huyo kijana apelekwe gerezani.

Hili jambo halikua lepesi kwa rafiki yangu kwani baada ya kujulikana ni yeye (ilijulikana baada ya miezi 3) alitafutwa mahali pote ila hakupatikana. Alihama mahali alipokua anakaa akaenda eneo lingine lakini bado walijua mahali aliko. Hali hii ilipelekea rafiki yangu kuhama mkoa kabsa na kwenda Dar. Akaa kule kwa miaka kadhaa huku nyumbani hawajui mtoto wao yuko wapi mana hadi mawasiliano alibadilisha. Alivyonielezea ni kwamba Dar aliteseka sana yani sana maana hakutaka ndugu au rafiki yeyote aliyeko huko Dar ajue kuwa yuko Dar. Maisha yalikua magumu sana.

Kwa kipindi fulani alipata kazi kwenye kampuni ya magari ya kubeba mizigo kuelekea Malawi hivyo alienda huko. Alikaa miezi 6 bila kurudi maana alimtoroka dereva aliyekua naye. Alifanikiwa kurudi tena Dar kupitia madereva wa Tz walioenda Malawi hivyo walimsaidia usafiri ila hakueka wazi jambo linalomsumbua.

Yule binti ilibidi aache masomo. Baada ya miezi 9 alifanikiwa kujifungua salama na alipata mtoto wa kike.

Baada ya kutoonekana kwa muda mrefu sana kipindi binti akiwa na uja uzito, wazee wa ukoo walikubaliana wamsamehe yule kijana aliyempa ujauzito binti yao ila wakimshika au akirudi ni lazima amwoe huyo binti.

Mwaka jana mwezi wa 9 yule kijana aliamua kuwatafuta wazazi wake na akawajulisha kuwa yuko Dar. Wakampa taarifa kuwa lile jambo wameshalimaliza na anaweza kurudi. Wazazi wakamsisitiza atakaporudi lazima akasalimie kwa wazazi wa huyo binti na lazima aende na zawadi na chakula cha kutosha.

Alifanikwa kama wazazi walivyomwambia, wazee wakaitwa na kupeana mkono wa kheri na akaoneshwa mtoto wake, basi ikawa furaha. Yule binti pamoja na huyu kijana hawakufanikiwa kuishi pamoja kama mme na mke, kila mtu aliendelea na maisha yake kwasababu yule kijana hakua na nia ya kuishi naye.

Je wewe Rafiki, ulipitia changamoto gani toka kwa wazazi au ndugu ilipojulikana kuwa tayari umempa ujauzito binti fulan au tayari binti una ujauzito?
Share pamoja nasi!
Duuuuu......nilipitia hali hii, kinachonipaga shida ni vile nikikumbukaga kwamba familia yangu yote ilinitenga nikategemea msaada toka kwa muhusika mkuu lakini ikawa kinyume maana nikiwa na mimba miezi Saba aliniita na kuniambia niendelee na maisha yangu maana kuna mwanamke anampenda zaidi,sijawahi kupata majmivu kama Yale,imepita miaka Saba sasa lakini hapa naandika nalia,nilipata msongo wa mawazo mpk ikanipelekea operation maana nilipata bp ya kupanda, namshukuru Mungu kwa Kila Jambo!!!

Pole sana Mamy, hii hali ya kukataliwa Na huku ni mjamzito imemkumba Dada yangu wa kwanza, kilasiku ilikuwa tunashinda hospital Na had saizi Na yule Bwana hawana maelewano mazur.

Pole sana Mungu akutie nguvu
 
Haya mambo siyo ya kupuuzia kabisa na sisi wadada hatusemi kabisa, sijui tunakwama wapi jamani.
Wakati mwingine wengine hua wanaficha ili iwe rahisi kum-banananisha huyo mwanaume aishi naye kabsa. Sasa anapopata ujauzito, wazazi wanakuja juu na kijana pia haoneshi ushirikiano aliokua anaonesha mwanzoni!

Pia wengine wanaficha ili tu awe na mtoto ilihali anajua kuna usumbufu anaeza pata.
 
Duuuuu......nilipitia hali hii, kinachonipaga shida ni vile nikikumbukaga kwamba familia yangu yote ilinitenga nikategemea msaada toka kwa muhusika mkuu lakini ikawa kinyume maana nikiwa na mimba miezi Saba aliniita na kuniambia niendelee na maisha yangu maana kuna mwanamke anampenda zaidi,sijawahi kupata majmivu kama Yale,imepita miaka Saba sasa lakini hapa naandika nalia,nilipata msongo wa mawazo mpk ikanipelekea operation maana nilipata bp ya kupanda, namshukuru Mungu kwa Kila Jambo!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Syapatale Pole, pamoja na yaliyotokea ila la kushukuru lipo.

Kupitia ulichoandika, nimejifunza kua mvumilivu kwa kila changamoto nitakayopitia nikiamini upo muda mambo yatakua shwari!

Lakini vipi mtoto si anamwangalia maana amekua sasa?
 
Hahaha kama ni mwanafunzi lazima jambajamba ikushike mabaharia miaka 30 mingi aisee

Kwa Mimi ni tofauti niliyempa mimba hakuwa na wazazi wala hawajui same kama Mimi tu .tulikulia orphanage at that time nilikuwa nimeanza najitegemea yeye alikuwa anajitegemea lakin sio imara still kuna familia ili m adopt nilikuwa nahofu kidogo na kauchumi kangu katumbo kanauma kila nikiwaza ila na kafuraha kidogo ila yeye alikuwa na furaha maana hakuna ndugu anaemjua wala familia nadhan mtoto angekuwa faraja kwake

Sadly nilimpoteza mama na mtoto I mean alikufa na ujauzito wake

I miss her

Sent using Jamii Forums mobile app
pole jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ungejua niliko usingesema hivi.Nilipata ka zali nipo mbali kidogo tu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ubishi mkuu,ivi unajua Tanzania tuna sheria zinazosaidia kupata wahalifu na hata ushahidi kwa kushirikiana na taasisisi na mataifa mengine mf. Interpol na nchi zenye kushirikiana? Tafuta kitu kinaitwa the mutual assistance Act na Extradition Act zitakusaidia,anyway kesi yako ni ndogo,relax

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuuuu......nilipitia hali hii, kinachonipaga shida ni vile nikikumbukaga kwamba familia yangu yote ilinitenga nikategemea msaada toka kwa muhusika mkuu lakini ikawa kinyume maana nikiwa na mimba miezi Saba aliniita na kuniambia niendelee na maisha yangu maana kuna mwanamke anampenda zaidi,sijawahi kupata majmivu kama Yale,imepita miaka Saba sasa lakini hapa naandika nalia,nilipata msongo wa mawazo mpk ikanipelekea operation maana nilipata bp ya kupanda, namshukuru Mungu kwa Kila Jambo!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mkuu, lakin mtoto ulijifungua na yuko wapi kwa sasa! Unae? Je huyo jamaa alimuoa huyo aliyedai anampenda zaidi? Vp maisha yake kwa sasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha kama ni mwanafunzi lazima jambajamba ikushike mabaharia miaka 30 mingi aisee

Kwa Mimi ni tofauti niliyempa mimba hakuwa na wazazi wala hawajui same kama Mimi tu .tulikulia orphanage at that time nilikuwa nimeanza najitegemea yeye alikuwa anajitegemea lakin sio imara still kuna familia ili m adopt nilikuwa nahofu kidogo na kauchumi kangu katumbo kanauma kila nikiwaza ila na kafuraha kidogo ila yeye alikuwa na furaha maana hakuna ndugu anaemjua wala familia nadhan mtoto angekuwa faraja kwake

Sadly nilimpoteza mama na mtoto I mean alikufa na ujauzito wake

I miss her

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio kwanza nilikuwa kidato cha 6 mwanzoni, mdada alikuwa zake chuo, familia ile sijui yule mwanamke yule angekuwa anasoma tu shule ingekuwaje, ila kifupi A level sikuisoma kwa amani, namaliza pepa nakaa km wiki 2 mtaani bibie anajifungua.

Ile familia ilikuwa ni NTITi kujisemea wamakonde.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuuuu......nilipitia hali hii, kinachonipaga shida ni vile nikikumbukaga kwamba familia yangu yote ilinitenga nikategemea msaada toka kwa muhusika mkuu lakini ikawa kinyume maana nikiwa na mimba miezi Saba aliniita na kuniambia niendelee na maisha yangu maana kuna mwanamke anampenda zaidi,sijawahi kupata majmivu kama Yale,imepita miaka Saba sasa lakini hapa naandika nalia,nilipata msongo wa mawazo mpk ikanipelekea operation maana nilipata bp ya kupanda, namshukuru Mungu kwa Kila Jambo!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
vipi jamaa anahudumia mtoto? ilikuwaje mimba ikaingia bahati mbaya?? jamaa alisahau kumwaga nje.now najua utakuwa upo strong

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom