Ilipaswa kuwa mimi

Bar mimi naendaga tu nikiwa na furaha...kwa kipindi kama hiki ni ngumu kunikuta bar
Kumbe ndio maana unalala bar[emoji134][emoji134][emoji134][emoji1787][emoji1787]
 
joli jolie..

Ni wewe au kuna mtu umemsaidia ndugu!!

Tambua kitu kimoja, wakati anataka muda wa kujitafakari yeye alikuwa keshafikia maamuzi, hakuwa wako tena! Pole sana jamani!!

Amini tuu huo ubavu ungekupwaya huko siku za mbele, Mwambie Mungu Asante, amekuonyesha venye ako mapema sana!! Bado hujachelewa, mwache aende. Wako yuko mahali anasubiria mkutane!
 
Hahah mbona umentag JJ?? Amen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…