Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,631
- 38,749
Duuh jifunze kuachia...let her go huyo akupangwa kuwa wako acha kufosi
Destiny is a funny thing [emoji16]
Ngoja niendelee na pombe [emoji482]
Kwanin umehisi nimetumia jani?Achana naye haikupaswa kuwa wewe kwa lolote na ndiyo maana kaenda zake sjui bhangi ya leo umeitolea wapi
Safari kubwa kama wamezidisha sukari aisee shida ni nin pale tbl??
Au wamechanganya na ma reds kama kawaida yao?[emoji23][emoji23]
Nahitaji kujua napaswa kulipigania penzi lako au kunyamaza
Ni ngumu kuyazuia haya maumivu moyoni
Sikupaswa kukuacha uende....
Pole mkuu.. (Storylines unaonyesha ni mdada ndio anatoa hii habari right? )
If it's you or Her. Note that..
Love's Life is all about Compatibility to each other. Kama hampo Compatible usifosi, fikicha macho fumba macho kisha songa mbele...Unachokipenda kikikutoka jua haikua saizi yako kuna vizuri vyako vinakuja vitakavyo kupa furaha.
Be the person who you can make yourself happy
Bro! Utakufa kihoro bure
Huna sababu ya kutotoka
Maisha mafupi ila matamu
Utamu mdomoni mwako
Sio mdomoni kwa binti
Huna thamani kwake
Yanini kumlilia kihalisi?
Lazima ukubali kwenda
Ili uishi uzuri duniani
Yanini kufa bado dogo?
Kufa kibudu kirahisi tu
Kwanini akufanye zoba
Afurahie mateso yako
Jifunze kuachia mambo
Wen dhings geti tofu
Let ze tafa get going
Bazazi!
Basi bado haijaisha kichwani, sio bure upate maumivu ya kulazimisha mahusiano na mtuDaaa umenikumbusha jani nina miaka kadhaa toka niache hiyo kitu...Kwanin umehisi nimetumia jani?
Sijui wanashida gani Wale..mkuu unazinywa sana hizo? [emoji16]Mimi na baridii na mvua hii napiga konyagii zangu kadhaa nakuwa wa motoo nalipata joto fresh
Unaweza lala hata sakafuni [emoji16]
Nipo nasikiliza track moja matata hapa ya Passenger, karibu tujumuike.
Njoo kwanguππ
Mpenzi wako ni safari, endelea naye tu.