ilimradi katita

ilimradi katita

abm8

Member
Joined
Nov 22, 2014
Posts
19
Reaction score
2
viongozi wasio na stara bungeni,mitaani na hata ktk mitandao wanataka kutuletea katiba ya namna gani?, bila shaka yenye maslahi ya wachache tu hasa wenye nyadhfa, rais hatashitakiwa kwa makosa ya jinai kamavile kulawiti!!!, huu si niupumbavu!!!!
 
Back
Top Bottom