Xiao qui shui JF-Expert Member Joined Feb 26, 2022 Posts 6,202 Reaction score 10,838 Jul 18, 2024 #81 Fundi manyumba said: Ahahahahha nasikia kile kitendo cha kujisachi mfukoni na kukuta huna simu... Pale mapigo ya moyo huwa kasi sana kiasi ambacho kama ulikua na haja inaweza kutoka gafula mkuu Click to expand... Na kama ni simu mpya weeee acha tu hilo wenge lake
Fundi manyumba said: Ahahahahha nasikia kile kitendo cha kujisachi mfukoni na kukuta huna simu... Pale mapigo ya moyo huwa kasi sana kiasi ambacho kama ulikua na haja inaweza kutoka gafula mkuu Click to expand... Na kama ni simu mpya weeee acha tu hilo wenge lake
Fundi manyumba JF-Expert Member Joined Nov 25, 2018 Posts 3,799 Reaction score 8,103 Jul 18, 2024 #82 Cassnzoba said: Na kama ni simu mpya weeee acha tu hilo wenge lake Click to expand... Ndio maana nakuaga na begi mda wote maana ndo nakua nimeweka vitu katika usalama
Cassnzoba said: Na kama ni simu mpya weeee acha tu hilo wenge lake Click to expand... Ndio maana nakuaga na begi mda wote maana ndo nakua nimeweka vitu katika usalama
Carleen JF-Expert Member Joined Nov 6, 2018 Posts 8,407 Reaction score 28,837 Jul 18, 2024 #83 aronstephy said: I wish ungeenda deep kwenye hiyo simu ya tatu. Click to expand... hata kuelezea tu namna nimetapeliwa ni aibu mkuu, watu watanicheka balaa..!!😂
aronstephy said: I wish ungeenda deep kwenye hiyo simu ya tatu. Click to expand... hata kuelezea tu namna nimetapeliwa ni aibu mkuu, watu watanicheka balaa..!!😂
ZVI ZAMIR JF-Expert Member Joined Jun 23, 2015 Posts 1,307 Reaction score 3,218 Jul 18, 2024 #84 Carleen said: hata kuelezea tu namna nimetapeliwa ni aibu mkuu, watu watanicheka balaa..!!😂 Click to expand... Yalishapita we tupe kisa tujichekee tu. 😅
Carleen said: hata kuelezea tu namna nimetapeliwa ni aibu mkuu, watu watanicheka balaa..!!😂 Click to expand... Yalishapita we tupe kisa tujichekee tu. 😅
Xiao qui shui JF-Expert Member Joined Feb 26, 2022 Posts 6,202 Reaction score 10,838 Jul 18, 2024 #85 Utakuja upigwe begi na usiamini mkuu
N narumuk JF-Expert Member Joined Feb 10, 2018 Posts 2,965 Reaction score 3,592 Jul 18, 2024 #86 ephen_ said: Chuo cha biblia Click to expand... Au Chuo cha Biblia
N narumuk JF-Expert Member Joined Feb 10, 2018 Posts 2,965 Reaction score 3,592 Jul 18, 2024 #87 Fundi manyumba said: Ahahahahha nasikia kile kitendo cha kujisachi mfukoni na kukuta huna simu... Pale mapigo ya moyo huwa kasi sana kiasi ambacho kama ulikua na haja inaweza kutoka gafula mkuu Click to expand... Shule mnafundishwa ujinga? Ghafla ndicho kiswahili
Fundi manyumba said: Ahahahahha nasikia kile kitendo cha kujisachi mfukoni na kukuta huna simu... Pale mapigo ya moyo huwa kasi sana kiasi ambacho kama ulikua na haja inaweza kutoka gafula mkuu Click to expand... Shule mnafundishwa ujinga? Ghafla ndicho kiswahili
Fundi manyumba JF-Expert Member Joined Nov 25, 2018 Posts 3,799 Reaction score 8,103 Jul 18, 2024 #88 narumuk said: Shule mnafundishwa ujinga? Ghafla ndicho kiswahili Click to expand... Una bahati pm yako imefungwa ila nilitaka nikupolomoshee matusi ya haja mpaka ujute...
narumuk said: Shule mnafundishwa ujinga? Ghafla ndicho kiswahili Click to expand... Una bahati pm yako imefungwa ila nilitaka nikupolomoshee matusi ya haja mpaka ujute...
N narumuk JF-Expert Member Joined Feb 10, 2018 Posts 2,965 Reaction score 3,592 Jul 18, 2024 #89 Fundi manyumba said: Una bahati pm yako imefungwa ila nilitaka nikupolomoshee matusi ya haja mpaka ujute... Click to expand... Ujuaji mwingi
Fundi manyumba said: Una bahati pm yako imefungwa ila nilitaka nikupolomoshee matusi ya haja mpaka ujute... Click to expand... Ujuaji mwingi
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 60,397 Reaction score 88,663 Jul 18, 2024 #90 Sijawahi kuibiwa au kupoteza simu hata moja.
Fundi manyumba JF-Expert Member Joined Nov 25, 2018 Posts 3,799 Reaction score 8,103 Jul 18, 2024 #91 narumuk said: Ujuaji mwingi Click to expand... Sawa sawa
barakuda JF-Expert Member Joined Dec 19, 2016 Posts 399 Reaction score 408 Jul 18, 2024 #92 Simu kama 20 hivi zimepotea kisa tungi