Ilikuwa nini hatima ya jamaa huyu?

Ilikuwa nini hatima ya jamaa huyu?

mtanzania in exile

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
1,502
Reaction score
1,390
Habari zenu wanajamii,

Jana nilikutana na marafiki zangu wakati wa jioni kwa kupiga domo na kujikumbusha ya kale na vituko vya nyumbani.
Katika mazungumzo yetu likaja suali la yule jamaa alokuwa muanzilishi wa blog ya ze utamu.huyu baada ya
kutukana na kuaibisha watu kadhaa ikiwa pamoja na rais wa Tanzania, alisakwa na kukamatwa na akapelekwa nyumbani
kushitakiwa,

Suali ni jee kuna anaejua kilichomfika huyu jamaa? je alifungwa, alisamehewa au alipotea kimaajabu ajabu kwa vile wazee wake ni vigogo?
 
hata sisi hatujui mkuu. basi ukipata data zake tujuze.
 
Habari zenu wanajamii,

Jana nilikutana na marafiki zangu wakati wa jioni kwa kupiga domo na kujikumbusha ya kale na vituko vya nyumbani.
Katika mazungumzo yetu likaja suali la yule jamaa alokuwa muanzilishi wa blog ya ze utamu.huyu baada ya
kutukana na kuaibisha watu kadhaa ikiwa pamoja na rais wa Tanzania, alisakwa na kukamatwa na akapelekwa nyumbani
kushitakiwa,

Suali ni jee kuna anaejua kilichomfika huyu jamaa? je alifungwa, alisamehewa au alipotea kimaajabu ajabu kwa vile wazee wake ni vigogo?

Duh ndugu umekumbusha la maana kweli, maana nakumbuka hadi askari wa interpol walihusishwa na serikali ilitumia pesa za kweli kumgundua alipo na kumsafirisha hadi Tanzania. Ni ajabu kuwa baada ya hapo imekuwa kimya!!!!!!
 
Ulikuwa naye wapi kwani?

Hivi unauliza kiutani au umeshindwa kuelewa kilichoulizwa? suali ni la maana kwa kiasi fulani
maana mbali ya kuwa alimdhalilisha rais wa nchi lakini pia serikali ilipoteza pesa chungu nzima
kumsaka jamaa huyu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom