"Kiparata", "viparata" ndo lugha gan hiyo?
<br /><b>Lugha ni mfumo wa sauti za nasibu zenye kuleta maana na mawasiliano</b>. Mimi mwenyewe neno "kipatarata" ndiyo nalisikia leo lakini kwa jinsi alivyoeleza nimemuelewa 100% akimaanisha nini. Kuna misemo na misimu, huenda Kigoma wanaviita hivyo na kueleweka. Sasa unapouliza ndiyo nini wakati sentensi imeweka wazi kuwa vitambulisho vya kujiandikisha kupiga kura, unakuwa umepoteza maana.
<b>Lugha ni mfumo wa sauti za nasibu zenye kuleta maana na mawasiliano</b>. Mimi mwenyewe neno "kipatarata" ndiyo nalisikia leo lakini kwa jinsi alivyoeleza nimemuelewa 100% akimaanisha nini. Kuna misemo na misimu, huenda Kigoma wanaviita hivyo na kueleweka. Sasa unapouliza ndiyo nini wakati sentensi imeweka wazi kuwa vitambulisho vya kujiandikisha kupiga kura, unakuwa umepoteza maana.
Kiparata....... Asili ya neno hili inaonekana baba alikuwa amebanwa na tumbo la kuhara, na baba huyu alimwambia mtoto wake kuwa sisi wakubwa hatuarishagi.
Basi siku ya siku mtoto akasikia prata tata kiparata kutoka chooni, mtoto akamuuliza baba yake, baba unafanya nini huko, mbona nasikia kitu kinalia kiparata? Baba akajibu mwanangu nimepoteza kiparata changu ndio nakiita nione kama kitaitika, mtoto akauliza kiparata ndio nini? Dingi akajibu kadi ya mpiga kura
Aisee JF balaa!nimecheka sana!Kiparata....... Asili ya neno hili inaonekana baba alikuwa amebanwa na tumbo la kuhara, na baba huyu alimwambia mtoto wake kuwa sisi wakubwa hatuarishagi.