Sodium JF-Expert Member Joined Feb 14, 2014 Posts 754 Reaction score 405 Jul 29, 2014 #21 Kila mmoja anachinja chake adi uku burcher zimegawanyika kulingana na dini na burcher nyingine imeandikwa bwana asifiwe.
Kila mmoja anachinja chake adi uku burcher zimegawanyika kulingana na dini na burcher nyingine imeandikwa bwana asifiwe.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,940 Reaction score 831,436 Jul 29, 2014 #22 Galadudu said: Kulikuwa na mgogoro cku za nyuma kwamba waislamu wanalazimisha kuwa wao ndo wana haki ya kuchinja....na wakristo wakisema sio lazima muislamu aje akuchinjie, hivi liliishaje hilo sakata? na nani waliopewa haki hiyo? Msaada plz Click to expand... Liliisha pale yalipotokea maandishi ya The end halafu zikafuata filamu nyingine nyingi tu
Galadudu said: Kulikuwa na mgogoro cku za nyuma kwamba waislamu wanalazimisha kuwa wao ndo wana haki ya kuchinja....na wakristo wakisema sio lazima muislamu aje akuchinjie, hivi liliishaje hilo sakata? na nani waliopewa haki hiyo? Msaada plz Click to expand... Liliisha pale yalipotokea maandishi ya The end halafu zikafuata filamu nyingine nyingi tu
Mtali JF-Expert Member Joined Aug 7, 2011 Posts 3,958 Reaction score 3,335 Jul 29, 2014 #23 Ya Sheikh Illunga yanarudi tena jamani....
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,838 Jul 29, 2014 #24 Kawaulize wenye mabucha watu tulishatulia wewe tena unaibuka na mambo yako ya mwaka 47!
K kazi kwanza Member Joined Jul 27, 2014 Posts 13 Reaction score 1 Jul 29, 2014 #25 haki nimepewa mimi