Kulikuwa na mgogoro cku za nyuma kwamba waislamu wanalazimisha kuwa wao ndo wana haki ya kuchinja....na wakristo wakisema sio lazima muislamu aje akuchinjie, hivi liliishaje hilo sakata? na nani waliopewa haki hiyo?
Msaada plz

Wanasema hivi kama huna cha kupost, ni bora ukaa kimyaa na kusoma post za wenzako wenye mawazo kuntu ya kujenga nchi na sio kuboa kama mawazo yako yalivyo! Na ulaananiwe kama walivyolaaniwa watu wote wasiolitakia mema taifa la Tanzania!
Kulikuwa na mgogoro cku za nyuma kwamba waislamu wanalazimisha kuwa wao ndo wana haki ya kuchinja....na wakristo wakisema sio lazima muislamu aje akuchinjie, hivi liliishaje hilo sakata? na nani waliopewa haki hiyo?
Msaada plz
hakuna mwenye haki ya kumchinjia mwenzake si waislam wala wakristu mbuz kanunua mkristo wewe mwislam kwanini useme unahaki ya kumchinja vivohivyo kwa wakristo ila malidhiano ni mazuri maana waislam nao wamedhurumiwa kupumzika siku ya ijumaa