nguvu ya buku
Senior Member
- Jul 15, 2025
- 168
- 549
Jumapili kidogo nichapwe elfu 45 nikidhani TV imeharibika sehemu ya kuweka flashi.
Nikaibeba kuipeleka kwa fundi, Nikaambiwa sehemu hio imeungua, inahitaji kubadilishwa
Muda huo remote inafanya kazi vizuri tu lakini ukiminya sehemu ile ya kufungulia flash inakataa
Fundi akasema nimsubiri kidogo, kulikuwa na remote nyingine inayofanana nikaichukua kujaribu, ikakubali
sasa nikawa najiuliza kwanini yangu haiwezi, nikatoa betri za kwenye remote ya mwanzo nikaweka kwenye yangu, ikakubali 😂
Nilipanga niondoke nimdanganye fundi ntaleta siku nikiwa na hela ila nikamwambia ukweli nikamwachia elfu tano