Ili Usitoe Pesa kwa trafick police fanya hivi!

Asante sana Hii nimeipenda sasa trafiki atanipata kwa binde sana?


hahahaaaa!

wikiend na siku za sikukuu huwa wanatega ka daladala inavotega abiria kituoni, basi wakipiga mkono tu, shemeji yenu anaanza kucheka kabisa maana anajua kinachofata, askari hawajawahi kula pesa yangu kwa sababu kesi za barabari, ingawaje ili kupunguza usumbufu najitahidi sana sasa kuwa nafunga mkanda kila wakati na nimeshanunua kile kistika chao cha elfu tano maana ndo kila wakinisimamisha wanaanzia kwenye windscreen
 
Back
Top Bottom