super nova
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 1,479
- 1,096
Siasa za Zanzibar sio mchezo...nenda unguja na pemba utaelewa tu. Utumwa na usultani umeathiri siasa ya visiwa. Ushindi was kisiasa ni zaidi ya wabara tujuavyo.
Ulichosema ni sawa kabisa. Ukiwa Mpemba Unguja unawekwa second class na ukiwa Muunguja huko Pemba unakuwa second class. CCM Unguja inahubiri Wapemba si Wazanzibar na Wapemba kwa kutambua hivyo wanaishi kwa machungu na juhudi zao binafisi. Ndiyo sababu Wapemba ni wachapa kazi na wavumilivu tofauti na Waunguja ambao ni masharobaro na wasiotaka kufanya kazi isipokuwa wanaishi kwa ndoto za kuishi uarabuni. Nilikaa miaka mitano kule. Kila familia Unguja imepeleka kijana wao japo mmoja Uarabuni kufanya kazi japo kazi zingine zinakuwa siri ya mhusika ili mradi tu awe anatuma pesa nyumbani hasa wakati wa mfungo mtukufu. Kuna kisa kimoja mama mtu aliangua kilio baada ya kutumiwa picha za mtoto wake akiwa amesuka na kuvaa heleni sitakisahau kipindi hicho nilikuwa naishi Fuoni.Siasa za Zanzibar sio mchezo...nenda unguja na pemba utaelewa tu. Utumwa na usultani umeathiri siasa ya visiwa. Ushindi was kisiasa ni zaidi ya wabara tujuavyo.