Ili uendelee ni pamoja na kubana matumizi

nzalendo

JF-Expert Member
May 26, 2009
11,724
11,999
Nimeona vyema nimshirikisheni jambo jema.
Kama mtu ukiweza kufanikiwa kubana matumizi kwa mwaka mzima,utakuwa umetengeneza mtaji wa kufanya jambo pevu ki maendeleo.
muhimu ni.....
Chakula....na akiba ya dharura
iliyobaki ni kwenye kibubu tu
 
Kuna ukweli.mkubwa sana ila pia ubanaji uangalie mambo mengi. Usije lala njaa kisa unabana matumizi. Utakufa kabla ya kutimiza ndoto zako.
 
Back
Top Bottom