Wadau heri ya Mwaka Mpya!
Tungependa kushare vitu vichache ili mwaka 2018 uwe mwaka Wa Mafanikio,Taja Angalau kitu kimoja ambacho kitamsaidia mtu kufikia mafanikio yake 2018.
1.kumtanguliza Mungu ktk kila jambo
2.
3.
4.
5.
6.

If you have to eat a live frog, it doesn't pay to sit and look at it for very long!
Kama una jambo la kufanya (project) usipoteze muda anza haraka kufanya. Chelewa chelewa utakuta mwana si wako