Ili Nape aendelee kuilinda heshima yake, ahame CCM.

H.T.P

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
1,169
1,298
Kama tukiongea ukweli bila unafiki wowote, Mh Nape hapaswi tena kuwa CCM kwasababu:

Kwanza; amedharauliwa mno! Magufuli ndo mwenyekiti, na kitendo cha kumtengua Nape kibabe namna ile ni dharau kubwa na kejeli; inamaanisha, Nape hana thamani kwake hata asipokuwepo. Nape unasubiri nini?

Pili; Nape mchango wake hauna umuhimu kwa CCM, Nape kipindi cha kampeni alitumia kila aina ya silaha hata ikiwa kumtukana MTU ilimradi ushindi upatikane, lakini wakamtafuna kama Big G sasa wamemtema. Nape unasubiri nini?

Alex Furgerson aliondoka Man U wakiwa bado wanamuhitaji ili kulinda heshima yake ambayo aliona, akiendelea kubaki, ingeshuka kama ambavyo tunamuona mzee wetu mpendwa Wenger. Nape unasubiri nini?

Akumulikaye mchana, usiku anakuchoma. Nape we ni mwana CCM unaujua uhuni na usanii Wa hiki chama, wanakupenda siku wanakuhitaji zaidi ya hapo we kwao ni Big G tu. Nape unasubiri nini?

Siumeona baada ya kuona mwenyekiti anaharibu akaamua kumpa mama Salma ubunge, ili aongeze nguvu kwenye kampeni zijazo, lakini asingeharibu, mama hata ujumbe tu kwenye chama sijui kama angepata.

Kuna mengi ya kuuambia nape lkn ngoja kwanza niwaachie wengine nao wanasemaje. Ila mi nasema kahesima kaliko baki katunze kwa kuhama kuliko kufukuzwa, hawa watu hawana maini eti.
 
Ushauri mzuri sana.
 
Mimi nawashangaa wanaomuona Nape kama National hero.
Nape is just like a snake who sheding his skin to allow for further growth, atabaki kuwa nyoka yule yule na sumu ile ile.
 
Kama tukiongea ukweli bila unafiki wowote, Mh Nape hapaswi tena kuwa CCM kwasababu:

Kwanza; amedharauliwa mno! Magufuli ndo mwenyekiti, na kitendo cha kumtengua Nape kibabe namna ile ni dharau kubwa na kejeli; inamaanisha, Nape hana thamani kwake hata asipokuwepo. Nape unasubiri nini?

Pili; Nape mchango wake hauna umuhimu kwa CCM, Nape kipindi cha kampeni alitumia kila aina ya silaha hata ikiwa kumtukana MTU ilimradi ushindi upatikane, lakini wakamtafuna kama Big G sasa wamemtema. Nape unasubiri nini?

Alex Furgerson aliondoka Man U wakiwa bado wanamuhitaji ili kulinda heshima yake ambayo aliona, akiendelea kubaki, ingeshuka kama ambavyo tunamuona mzee wetu mpendwa Wenger. Nape unasubiri nini?

Akumulikaye mchana, usiku anakuchoma. Nape we ni mwana CCM unaujua uhuni na usanii Wa hiki chama, wanakupenda siku wanakuhitaji zaidi ya hapo we kwao ni Big G tu. Nape unasubiri nini?

Siumeona baada ya kuona mwenyekiti anaharibu akaamua kumpa mama Salma ubunge, ili aongeze nguvu kwenye kampeni zijazo, lakini asingeharibu, mama hata ujumbe tu kwenye chama sijui kama angepata.

Kuna mengi ya kuuambia nape lkn ngoja kwanza niwaachie wengine nao wanasemaje. Ila mi nasema kahesima kaliko baki katunze kwa kuhama kuliko kufukuzwa, hawa watu hawana maini eti.
Kulinda heshima kwa Nape si kuhama Chama na Mh Nape pamoja na kutolewa uwaziri usihame Chama kwa ushauri unaopewa na marafiki zako.

Baki ndani Chama wewe ni mpiganaji na bado Kinana Na Magufuli wana kutegemea 2020 maana mbinu za kivita kuhusu ushindi unazijua.

Tulia punguza hasira kula vizuri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom