Ilham Omar: Kenya na Ethiopia zimeiba Ardhi ya Somalia

Mr Chromium

JF-Expert Member
Aug 20, 2020
2,088
2,705
Anaejua ajenda ya huyu mwafrica ambae ni senate wa Marekani atuambie!!

Huyu hayupo kwa ajili ya Afrika na wafrica ila yupo kutetea maslahi ya waarabu na wasomali pekee!!

Je, hii ni matokeo ya Racial Identity crisis?

Kwa wale msioelewa Identity crisis maana yake ni Kushindwa kujijua wewe ni yupi Mwarabu au mwafrica. Kwa somalia hiyo ipo sana wasomali wengi hawajifahamu au wamekwama hapo kila mtu anajisema vyakwake.

IMG_5072.jpg

Je anaijua historia ya hizi nchi??
kwann wasomali ni wakabila??
 
Attachments

  • IMG_5072.jpg
    IMG_5072.jpg
    168 KB · Views: 2
Aende kwenye bunge la Somalia.

Anasema yeye ni Msomali kwanza, mu Islam baadaye.

Lakini kaacha kugombea ubunge kwao Somalia, kaja kugombea US.

Ng'ombe kabisa.

Alikua anahangaika kutaja neno MOU kwa kisomali!!
Kifupi anachochea vita Africa lakini kipindi chote ameshindwa kumaliza mgogoro nchini mwake
 
Anaejua ajenda ya huyu mwafrica ambae ni senate wa Marekani atuambie!!

Huyu hayupo kwa ajili ya Afrika na wafrica ila yupo kutetea maslahi ya waarabu na wasomali pekee!!

Je, hii ni matokeo ya Racial Identity crisis?

Kwa wale msioelewa Identity crisis maana yake ni Kushindwa kujijua wewe ni yupi Mwarabu au mwafrica. Kwa somalia hiyo ipo sana wasomali wengi hawajifahamu au wamekwama hapo kila mtu anajisema vyakwake.

View attachment 2888867

Je anaijua historia ya hizi nchi??
kwann wasomali ni wakabila??
Sioni shida

She is for her motherland
 
Brother… I see nothing wrong

Hata Jews wanadefend kwao, Indians the same etc.
There is something fundamentally wrong with someone running away from Somalia, coming to the US, getting into the US Congress, largely by the generosity of the US people, and saying I am Somali first, Muslim second. Where is America there? Is it like a forgotten stepchild in that pecking order?

Huyu bidada anaweza kuwa ndani ya mjengo kwa mara yake ya mwisho kwa mtaji huu.
 
There is sonething fundamentally wrong with someone running away from Somalia, coming to the US, getting into the US Congress, largely by the generosity of the US people, and saying I am Somali first, Muslim second. Where is America there? Is it like a forgotten stepchild in that pecking order?

Huyu bidada anaweza kuwa ndani ya mjengo kwa mara yake ya mwisho kwa mtaji huu.
With those sentiments nakuelewa
Hakua careful on what to say akiwa wapi
 
With those sentiments nakuelewa

Hakuna careful on what to say akiwa wapi
Issue si kwamba hakuwa careful. Mimi nataka watu wasiwe guarded kuhusu wanachisema tujue wanafikiri ni i kiukweli ukiondoa boilerplate platitudes wanazotumia wanasiasa kika siku.

So, it is good tgat she was nit carwful, tujue how she really feels.

Issue ni kwamba that is how she really feels.

Somali first. Muslim secind. America does not even get a honorary mention.

Sasa hapi ndipo kawapa msemo wale ma ultra right activist wanaosema "Waislamu wanataka kuja kutawala Marekani nankutuletea Sharia".

And frankly, with attitudes like this, I wouldn't blame them.

Kwa sabahu watu wataanza kujiuliza, huyu dada ni mjinga hivi kweli? Au kafanya makusudi kuiacha Marekani hapo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom