Ileje: Meneja wa kituo cha kuuza mafuta avamiwa na kuporwa Tsh milioni 25

Ila huyo jambazi mpuuzi kweli Kwann asingeinngia boda Ya Malawi kulee atembee upande ule Hadi anapoteaa
 
Kuna polisi walidhibiti makomando, mkuu naomba source ya hii habari niitafute
 
Wananchi bwana eti wakazikuta tsh 1,200,00/=hizo 23,800,000/= zilenda wapi japo walikua wawili
 

 
Hapo naona stering wa mchezo ni mgambo aliyemrukia jambazi na kukamata bunduki
 
Tumpongeze mgambo japo tunatakiwa tumwitwe jeshi la akiba siyo mgambo kuhusu hela hao wamezifukia sehemu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…