Ile vuta n'kuvute pale kimboka, nimeangusha simu. Aliyeiokota kachafua hali ya hewa

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
Basi bhana, mida ya saa tano za usiku nikawa navutana na jimama lenye manyonyo makubwa sana nisiyoyamudu, ile kukataa lenyewe linalazimisha. Kwa bahati nzuri nikalishinda, ile kufika mbele, kuangalia oppo yangu, siioni tena. Basi bhana, nikajongea pembezoni mwa ule mtaa, nikajiinamia huku mafua na kwikwi vikitaradadi. Ghafla nasikia "Helo Helo Helo camanda on duty, ova ova ova. Lile jambazi sugu niko nalo hapa mbele yangu". Ile kuinua shingo nakutana na kijiafande chembamba halafu kimepanda hewani huku mikono yake ikishikilia Radio Call. Ruksi yake ikining'iniza Pingu

Katika hali ya kutaka kurusha Peresu Peresu, nakuta tayari nishazungukwa. Basi bhana nikazivaa pingu

Usiku wa Jana ulikuwa ni wa pirika pirika. Kilichofuata na kusukumwa rumande. Nimekuja kutoka saa tisa asubuhi huku pesa zangu zote wakiwa wamezipopoa I.e 140k

Wakati narejea nyumbani nakuta mambo yamekwisha haribika. Si video calls, si note voices, sio WhatsApp SMS, wala sio normal text. Lile jitu pale kimboka limewapigia watu wote kwenye simu kuomba kama kuna MTU anayenifahamu, aje anichukulie simu yangu pale Kimboka. Yaani jumbe zimemfikia mama Mkwe, Baba Mkwe, Wake, Watoto, Majirani, Wafanyakazi wenza n.k, kasoro wazazi tu ambao namba zao huwa nabaki nazo kumkichwa.

Nimeamua kukimbia kwangu, kwa sasa niko kwenye kijigheto nilichopanga kwa ajili ya mizagamuo ya dharura. Nimeazima simu na ku log in into my Google account. Huwa inafanya back up, kila kitu inasave mle. Kwa namna ambavyo walikuwa wanayarusha rusha na kujirekodi kwa simu yangu, nahisi ndoa imeishia hapa. Kama ni bando langu la GB 10 la mwezi, nahisi wamelifuta lote. Maake sio kwa ule ufuska.

Nimesikitika sana aisee
 
Basi bhana, mida ya saa tano za usiku nikawa navutana na jimama lenye manyonyo makubwa sana nisiyoyamudu, ile kukataa lenyewe linalazimisha. Kwa bahati nzuri nikalishinda, ile kufika mbele, kuangalia oppo yangu laini na nyeupe, siioni
Sina uhakika kama nimeelewa sawasawa. Labda ni hili lichupa likubwa la Konyagi ninalopambana nalo!
 
IMG_20230320_214023.jpg
 
Basi bhana, mida ya saa tano za usiku nikawa navutana na jimama lenye manyonyo makubwa sana nisiyoyamudu, ile kukataa lenyewe linalazimisha. Kwa bahati nzuri nikalishinda, ile kufika mbele, kuangalia oppo yangu laini na nyeupe, siioni tena. Basi bhana, nikajongea pembezoni mwa mji kidogo, nikajiinamia huku mafua na kwikwi vikitaradadi. Ghafla nasikia "Hero Hero Hero, camanda on duty, ova ova ova. Muuaji niko naye hapa mbele yangu". Ile kuinua shingo nakutana na kijiafande chembamba halafu kimepanda hewani huku mikono yake ikishikilia Radio Call. Ruksi yake ikining'iniza Pingu za maisha

Katika hali ya kutaka kurusha Peresu Peresu, nakuta tayari nishazungukwa. Basi bhana nikazivaa Pingu zile tayari kwa kuanza safari ya maisha mapya

Usiku wa Jana ulikuwa ni wa pirika pirika, mimi binafsi na " Lutambi lwangu lwote, nikaswekwa ndani". Nimekuja kutoka saa tisa asubuhi huku pesa zangu zote wakiwa wamezipopoa I.e 140k

Wakati narejea nyumbani nakuta mambo yamekwisha haribika. Si video calls, si note voices, sio WhatsApp SMS, wala sio normal text. Lile jitu pale kimboka limewapigia watu wote kwenye simu kuomba kama kuna MTU anayenifahamu, aje anichukulie simu yangu pale Kimboka. Yaani jumbe zimemfikia mama Mkwe, Baba Mkwe, Wake, Watoto, Majirani, Wafanyakazi wenza n.k, kasoro wazazi tu ambao namba zao huwa nabaki nazo kumkichwa.

Nimeamua kukimbia kwangu, kwa sasa niko kwenye kijigheto nilichopanga kwa ajili ya mizagamuo ya dharura. Nimeazima simu na ku log in into my Google account. Huwa inafanya back up, kila kitu inasave mle. Kwa namna ambavyo walikuwa wanayarusha kwa simu yangu, nahisi ndoa zimeishia hapa. Kama ni bando langu la GB 10 la mwezi, nahisi wamefuta lote. Maake sio kwa ule ufuska.

Malipo ni hapa hapa duniani
Kwa hyo?
 
Dah nilishaenda buguruni kumcheki mshkaji wangu mmoja, dah baada ya muda likatokea tifu tukakichafua kinoma mpaka watu wakakimbia

Tukabaki kujipongeza na bia, muda si muda vikaja 'vipira' viwili aisee nililala ndani afu kesho nilikua na mtihani chuo

Nilitoka kesho yake jioni ikabidi niende tu chuo sikuficha chochote nikamwambia lecturer tu ukweli kama hukumu anipe yoyote

Aisee jamaa alikua peace akanikaushia baada ya siku mbili akaniita ofisini akanipa test! Bugubwax pa kiboya sana
 
😆😆😆 kimboka ulienda kufanya service au ulikua unapita!?
Basi bhana, mida ya saa tano za usiku nikawa navutana na jimama lenye manyonyo makubwa sana nisiyoyamudu, ile kukataa lenyewe linalazimisha. Kwa bahati nzuri nikalishinda, ile kufika mbele, kuangalia oppo yangu laini na nyeupe, siioni tena. Basi bhana, nikajongea pembezoni mwa mji kidogo, nikajiinamia huku mafua na kwikwi vikitaradadi. Ghafla nasikia "Hero Hero Hero, camanda on duty, ova ova ova. Muuaji niko naye hapa mbele yangu". Ile kuinua shingo nakutana na kijiafande chembamba halafu kimepanda hewani huku mikono yake ikishikilia Radio Call. Ruksi yake ikining'iniza Pingu za maisha

Katika hali ya kutaka kurusha Peresu Peresu, nakuta tayari nishazungukwa. Basi bhana nikazivaa Pingu zile tayari kwa kuanza safari ya maisha mapya

Usiku wa Jana ulikuwa ni wa pirika pirika, mimi binafsi na " Lutambi lwangu lwote, nikaswekwa ndani". Nimekuja kutoka saa tisa asubuhi huku pesa zangu zote wakiwa wamezipopoa I.e 140k

Wakati narejea nyumbani nakuta mambo yamekwisha haribika. Si video calls, si note voices, sio WhatsApp SMS, wala sio normal text. Lile jitu pale kimboka limewapigia watu wote kwenye simu kuomba kama kuna MTU anayenifahamu, aje anichukulie simu yangu pale Kimboka. Yaani jumbe zimemfikia mama Mkwe, Baba Mkwe, Wake, Watoto, Majirani, Wafanyakazi wenza n.k, kasoro wazazi tu ambao namba zao huwa nabaki nazo kumkichwa.

Nimeamua kukimbia kwangu, kwa sasa niko kwenye kijigheto nilichopanga kwa ajili ya mizagamuo ya dharura. Nimeazima simu na ku log in into my Google account. Huwa inafanya back up, kila kitu inasave mle. Kwa namna ambavyo walikuwa wanayarusha kwa simu yangu, nahisi ndoa zimeishia hapa. Kama ni bando langu la GB 10 la mwezi, nahisi wamefuta lote. Maake sio kwa ule ufuska.

Malipo ni hapa hapa duniani
😆😆😆Kimboka ulienda kufanya service au ulikuwa unajipitia zako mpk Jimama likakunasa!!?
 
Basi bhana, mida ya saa tano za usiku nikawa navutana na jimama lenye manyonyo makubwa sana nisiyoyamudu, ile kukataa lenyewe linalazimisha. Kwa bahati nzuri nikalishinda, ile kufika mbele, kuangalia oppo yangu, siioni tena. Basi bhana, nikajongea pembezoni mwa ule mtaa, nikajiinamia huku mafua na kwikwi vikitaradadi. Ghafla nasikia "Helo Helo Helo camanda on duty, ova ova ova. Lile jambazi sugu niko nalo hapa mbele yangu". Ile kuinua shingo nakutana na kijiafande chembamba halafu kimepanda hewani huku mikono yake ikishikilia Radio Call. Ruksi yake ikining'iniza Pingu

Katika hali ya kutaka kurusha Peresu Peresu, nakuta tayari nishazungukwa. Basi bhana nikazivaa pingu

Usiku wa Jana ulikuwa ni wa pirika pirika. Kilichofuata na kusukumwa rumande. Nimekuja kutoka saa tisa asubuhi huku pesa zangu zote wakiwa wamezipopoa I.e 140k

Wakati narejea nyumbani nakuta mambo yamekwisha haribika. Si video calls, si note voices, sio WhatsApp SMS, wala sio normal text. Lile jitu pale kimboka limewapigia watu wote kwenye simu kuomba kama kuna MTU anayenifahamu, aje anichukulie simu yangu pale Kimboka. Yaani jumbe zimemfikia mama Mkwe, Baba Mkwe, Wake, Watoto, Majirani, Wafanyakazi wenza n.k, kasoro wazazi tu ambao namba zao huwa nabaki nazo kumkichwa.

Nimeamua kukimbia kwangu, kwa sasa niko kwenye kijigheto nilichopanga kwa ajili ya mizagamuo ya dharura. Nimeazima simu na ku log in into my Google account. Huwa inafanya back up, kila kitu inasave mle. Kwa namna ambavyo walikuwa wanayarusha rusha na kujirekodi kwa simu yangu, nahisi ndoa imeishia hapa. Kama ni bando langu la GB 10 la mwezi, nahisi wamelifuta lote. Maake sio kwa ule ufuska.

Nimesikitika sana aisee
Chai
 
Back
Top Bottom