Ile kauli mbiu ya serikali ya VIWANDA imetowekea wapi?

Viwanda vinaedelea tu Mkuu..

Vijiwe vyote vya kufyatulia matofali Mwijage ameviweka kwenye idadi ya viwanda..

Sasa fanya hesabu mwenyewe idadi yake.
 
Teh teh teh
Wajinga ndiyo waliwao. Tayari wapo madarakan hawana shida na watu. WANACHOJUA NI MATUMBO YAO TU
 
Mkuu kweli Tanzania ya viwanda mkuu naona kasau kabisa bado Ajira tatizo kubwa lengine Hilo
 
Kesho Rais Magufuli atakuwa anazindua kiwanda cha chaki wilayani Maswa, mkoa wa Simiyu.


Hatimaye Tanzania ya viwanda yaanzia Maswa
 
Imekuwa serikali ya madeni na movie ya kihindi.
chato international airpot...ben saanane, lema, na matakataka mengine yameziba...hata wakisema viwanda sijui nini, habari hizi ndio za mjini siku hizi.
 
Imekuwa serikali ya madeni na movie ya kihindi.

Watu wengine mnapenda kurukia rukia habari wakati hata hamfuatilii habari. Mwisho wa siku mnaonekana hamjui ili hali mnjifanya mnajua.

Hivi tunavyo bofya buttons kwenye keyboard hapa, Waziri wa mambo ya nje wa china yupo hapa Tanzania na mpango wa viwanda takribani 20 hivi. Amepokelewa na Waziri Mahiga, kisha kaongea na Waziri Mkuu Majaaliwa. Sasa wewe unapokurupuka kutoka huko ulikokuwa umelala na gongo zako kichwani, unakuja tena kuuliza mambo ya viwanda humu.

Au unataka kila siku tuwe tunaandika viwanda humu.
 
Back
Top Bottom